Maisha ni safari.
Kabisa ndugu...kaza buti upate hata bajaji au tukutuku
Maisha ni safari.
Ila mkumbuke sio kila mtu ana uwezo wa kununua gari, na kila mtu akinunua gari nani atapanda daladala???kama unaweza mpe mtu lift kama huwezi basi tuu. Sio lazima kumpa mtu lift na ukishampa mtu lift sio vizuri kumsema tenaa. Jamani mungu ni mmoja tu anayetuma hayo magari........
Tungekuwa na Moyo wa upendo kwa kila mtu ingependeza! Usione kutoa lift ni tatizo ! Mola ndo anapanga yote anamnyima yeye anakupa wewe ili tutegemeane!Hivi angeweka usawa kwa watu wote ingekuwaje? Kila Mtu amiliki hummer, Fedha, Mali, n.k nani angemtumikia mwenzie!?
Kila mwenye gari asubuhi angebeda watu japo 4 au kulingana na uwezo wa gari lakie tatizo la usafiri lisingekuwepo!
Mpende jirani yako kama Nafsi yako!
Kuna mama mmoja aliombwa lift akamyima yule aliyemuomba! jamaa akaamua kutembea kwa mguu kufika mbele akamkuta mama anaomba msaada gari lake limekwama kwenye tope! Alichokifanya jamaa alimsaidia mama kutoa gari lile kwenye tope kisha akaendelea kutembea kwa mguu
wenye magari ya mkopo utawajua tu, masimango kwa kwenda mbele
MARIOOO NA LELIE..OOOOO....MARIO...MARIO..:majani7:
MARIOOO NA LELIE..OOOOO....MARIO...MARIO..:majani7:
Kusema kweli lift natoa sana ila tatizo watu wanabehave tofauti, kwa mfano umetoka kuosha gari mda si mrefu na mtu anaingia anaingiza michanga kibao na matope, jamaniiii kuosha gari ni gharama pia. Au unakuta mtu anafunga mlango kwa nguvu kama lori,dah....mara mbili tuu gari milango imelegea...kweli sio kwamba tunakataa kutoa lift ila sina matatizo mengiKweli mkuu hapo bolded nakuunga mkono ila na wapewa lift hasa wale wa kuomba kila siku kwa mtu mmoja wawe wanajiongeza kama leo na jana umeomba lift siku nyingine unawahi unapanda daladala na siku nyingine unajifanya kama hujamwona ili asimame mwenyewe maana lazima kuheshimu privacy za watu maana mtu anashindwa hata kupaki sehemu akapokea simu kuongea mambo yake personal.
Kusema kweli lift natoa sana ila tatizo watu wanabehave tofauti, kwa mfano umetoka kuosha gari mda si mrefu na mtu anaingia anaingiza michanga kibao na matope, jamaniiii kuosha gari ni gharama pia. Au unakuta mtu anafunga mlango kwa nguvu kama lori,dah....mara mbili tuu gari milango imelegea...kweli sio kwamba tunakataa kutoa lift ila sina matatizo mengi
Naona tunasimangwa sisi masikini tusiokuwa na vyombo yvya usafiri,ipo siku nasi mungu atakuja kutupa,na akitupa tutawasaidia ambao watakuwa hawana!!
Hahahahaahaaaaaaaaaaaaa! wera weraaaaaaaaaaaaaa! Wilyelele Hongeraaaaaaaaa! Duh! sikufahamu kama umenunua Gari, Basi utanikuta namim pale kituoni kesho, na sitachangia mafuta. Khaaaaaaaaaa! kama kawaiada yako.Hili la kuchangia mafuta kuna siku walipanda watu watatu, wakati nanunua mafuta, mmoja alitoa elf kumi. Baada ya wiki nikasikia eti wanachangia mafuta ndo maana gari liko barabarani kila siku. Nilichokifanya ni kutochukua hela ya mtu ata akitoa nakataa kabisa.
Mungu siku zote ,hamtupi mja wake!Ni kweli mkuu na sisi iko siku tutatokamo, ni suala la mda tu.
Kuwa na uwezo wa
kukopesheka ni sifa nzuri, hasa mtu akikopa na akanunua gari! Then
anajua kwamba anakatwa, hajamaliza mkopo halafu mtu mwingine nae
analifanya gari kama lake. Kila siku anapiga mkono kama traffic!
Jamani!
Napata shida sana na hili. Wote tunafahamu kwamba jiji la Salidalama lina tatizo la usafiri na pengine kumsaidia mtu ni kitu cha kawaida kama anakwenda kazini. Lakini cha ajabu, kuna baadhi ya wanaume ambao wanafanya kazi. Kila siku unamkuta mtu amesimama mbali na kituo cha daladala utafikiri anasubiri gari la ofsini kwao kumbe sio. Kila akipita mtu unakuta kazi ni kuchungulia kwenye vioo vya gari na kupiga mkono kama trafik. Ukiwa job anapiga unatoka saa ngapi ili apande tena wakati wa kurudi home.
Jamani kwa nini wanaume tunajifedhehesha hivi? Mtu anakupa lift maramoja na pale ambapo kweli kuna shida ya usafiri na wewe, jaribu kukaa hapo kwenye kituo cha mabasi na wenzako. Wanaume tusipende sana kudandia lift maana ni fedheha. Mambo haya yalikuwa kwa wanawake zamani lakini siku hizi yamehamia kwa wanaume!
Najua wengi wataponda lakini ukweli ndo huo! Mi na mke wangu hatukuwahi kudandia lift ya mtu, tulikwa sisi na daladala kila siku! Hata kama gari imeleta tatizo tulikuwa tunawahi kupanda daladala. Iweje wasio na magari wapende sana lift utafikiri shida hawana?
Kuwa na uwezo wa kukopesheka ni sifa nzuri, hasa mtu akikopa na akanunua gari! Then anajua kwamba anakatwa, hajamaliza mkopo halafu mtu mwingine nae analifanya gari kama lake. Kila siku anapiga mkono kama traffic! Jamani!