Mwenye cv ya SHIGONGO

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
1,500
Maana huyu jamaa kaibuka na magazeti yake. Mwenye kumfahamu yeye na cv yake please.
 

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,362
1,225
hizi fitna na majungu JF ndio znawafanya watu mzidi kudumaa na mawazo chakavu.nawe tafuta njia yako ya kutoka maisha hayana formula kupe!!!
 

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,197
2,000
Leo Shigongo Magazeti yanaharibu nchi kesho
Bakhresa hatoi misaada keshokutwa Ruge....mtondogoo
Oil com.......... Manjiii....... Mengiiiiii........ Mimi eh!
 

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,404
2,000
Huna cha kuandika?shigongo alisomea sengerema kwao ni nyakato mwananchi,alimaliza form four akapata division zero,ila katika maisha ana A ya 100% kwa sababu katoa ajira kwa watanzania wenye elimu kumzidi.wewe na elimu yako hata mimi sikujui hata mtaani kwenu hujulikani,maisha utajaza mwenyewe,acha wivu wa kike,kafanye kazi mwanaume.Maana huyu jamaa kaibuka na magazeti yake. Mwenye kumfahamu yeye na cv yake please.
 

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
1,500
Duh kweli wapenda udaku ni wengi yaani wana hasira hao
 

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,451
1,170
Unaonaje kama hii thread ungeipeleka kwenye magazeti yake ya udaku maana pale ndio mahali pake. CV bora ya mtu ni kichwa chake, haya makaratasi huwa ni nyongeza tu. Unamkumbuka marehemu Profesa Machunda? Profesa wa kwanza kule ukerewe ambaye aliwahi kusema kuwa kwa elimu aliyonayo hawezi kufanya kazi na Mwal. Nyerere! Lakini pamoja na kuishi miaka mingi USA aliishia kunywa gongo pale mwaloni Nansio huku akitembea bila hata ya kandambili.
Tafakali.
 

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
2,000
Watanzania bana,
Mawazo na fikra ya walio wengi yanaonyesha kuwa hawafahamu kile wanachokitaka na wanachokifanya katika maisha yao.

Kila jambo kwa sasa imekuwa "tuonyeshe curricula vitae (CV) yako kana kwamba hiyo tu ndiyo msingi na nguzo ya kuhalalisha kile kinachochagizwa.

Kwa umbumbu wa walio wengi hata hawajui kutofautisha kati ya umiliki na utendaji katika kampuni.

Ukiangalia kwa macho mawili, utaona swali hii limeletwa likiwa limebeba fikra kuwa Shigongo kwa vile ndiye mmiliki wa magazeti basi ndiye muhusika wa kila kile kinachochapiswa kwenye magazeti yake (mhariri mkuu/mtendaji) ambacho inavyoonekana mleta mada hakubaliani nacho.

Sasa ukijua CV yake, what's next...
 

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
2,000
Duh kweli wapenda udaku ni wengi yaani wana hasira hao

Kwani kuna tatizo gani kupenda udaku. Kile ukipendacho wewe siyo lazima na mwingine akipende na kile usichokipenda siyo lazima na mwingine asikipende.

Watu humu wanakuwa na mawazo na fikra za kidikteta kitu ambacho ni hatari katika demokrasia ya kweli.

Just mind your own life & you'll be fine.
 

unejoune

Senior Member
Apr 1, 2011
191
225
Nimeona kiasi mengi na kugundua kuwa ukijua uwezo na upungufu wako uaweza kukabiliana na maisha in a positive and constuctive way. Waarabu, Malaysia, Botswana, Libya na wengineo wa aina hiyo wanalijua hilo, wakawaachia wenye uwezo ( wa akili na kujituma) wakawaachia, maendeleo tunayaona; Tanzania tunajua kuwa vyote hivyo hatuna, rasilimali tumejaliwa kuwa nazo in abundancy, lakini hatuna kiburi cha kuwaachia nafasi wenye uwezo wakafanya kazi ya kuikomboa kutoka kwenye umasikini na kuwa na neema kwa sababu tunang'ang'ania, kisa TUMELAANIWA (ama KUROGWA kwa wanaoamini). Tukiamua na kuwaachia wenye kwa kuwapa nafasi ya kuibadilisha nchi na kuipeleka kwenye asali na maziwa kiukweli, tutajiinua na kuinuliwa. Tuamke Tanzania, tuache kutazamana usoni, kulalamika, kulaumu na kusikitika. I am sorry for my too much words.
 

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,004
1,195
Tupe CV yako kwanza na utueleze umeifanyia nini nchi hii. Sana sana utakuwa unataka nchi ikufanyie wewe badala yake unakuwa fisadi.Shame on you!!!
 

top guy

New Member
Nov 4, 2012
4
0
KAKA FANYA YAKO BHANA,SHIGONGO ni entrepreneur bhana wala hutakiwi kufuatilia cv yake,mchapakazi and fighter sa cjui unataka kujua nini?
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
24,402
2,000
Chit-chat ndio kuna upuuzi wa level hizo kule wangemjua umekosea jukwaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom