Jengo Refu Zaidi Duniani

Jengo Refu Zaidi Duniani

Ramadhani imeanza?
Mie sijaalikwa futari hata moja this week
 
Hiyo Burj Khalifa nimeshaipanda. Lift yake ina speed kali. Dakika moja umeshafika gorofa ya 125!
 
aibu!!! wacha nijipange niende kumgegeda demu kwenye floor ya 160....kweli we will be so high lol
 
Nipo Mbioni kukomboa Jimbo la Korogwe Mjini Kutoka utawala dhalimu wa CCM wana CDM na watanzanianitahitaji ushirikiano wenu....Msaada wa Mawazo na mbinu za ushindi..........
 
Nipo Mbioni kukomboa Jimbo la Korogwe Mjini Kutoka utawala dhalimu wa CCM wana CDM na watanzanianitahitaji ushirikiano wenu....Msaada wa Mawazo na mbinu za ushindi..........

Khaaa! Jengo refu + siasa = ....
 
Lipo Dubai
Linaitwa Burj Khalifa
Lina urefu wa mita 829.8
Lina apartments za kuishi 900
Lina vyumba vya hoteli 304
Lina parking spaces 2957

Jengo hilo, Burj Khalifa, lina ghorofa mia moja na sitini. Waisilam huanza kula futari mara wanapoona jua limezama.

BBC Swahili - Habari - Kisa na Mkasa na Salim Kikeke

Siku ambayo ardhi itakasirika, wakaazi wa hayo majengo watajirusha kama wale wa Twin towers(9/11).
 
Hiyo Burj Khalifa nimeshaipanda. Lift yake ina speed kali. Dakika moja umeshafika gorofa ya 125!
Tujuze zaidi kuhusu hilo jengo. Ukiwa juu si balaa !
 
hili jengo linabahati haliwezi kulipuliwa kwani limejengwa nyumbani kwa walipuaji.
 
Nipo Mbioni kukomboa Jimbo la Korogwe Mjini Kutoka utawala dhalimu wa CCM wana CDM na watanzanianitahitaji ushirikiano wenu....Msaada wa Mawazo na mbinu za ushindi..........

Hizo siasa sasa
 
kwani wao mbona wameweza wananini? na Mbona sie tumeshindwa kwa nini?
 
Lipo Dubai
Linaitwa Burj Khalifa
Lina urefu wa mita 829.8
Lina apartments za kuishi 900
Lina vyumba vya hoteli 304
Lina parking spaces 2957

Burj Khalifa Facts | CTBUH Skyscraper Database

Visit the Burj Khalifa -- The Tallest Building in the World

View attachment 73970

View attachment 73971

BBC - Swahili:
Waisilam wanaoishi katika jengo refu zaidi duniani, wanalazimika kusubiri muda zaidi kufutari kuliko waisilam wengine, kwa kuwa jua linachelewa kuzama huko walipo, kutokana na urefu wa jengo hilo.

Jengo hilo liitwalo Burj Khalifa liko Dubai.
Kiongozi wa juu wa kidini wa Dubai, Mohammed al-Qubaisi amesema wale wanaoishi zaidi ya ghorofa ya themanini, lazima wasubiri dakika mbili zaidi, baada ya muda kutimia mjini Dubai ili kupata futari yao.
Mwezi wa Ramadhani ulianza wiki moja iliyopita.
Gazeti la Mirror limesema shekhe huyo amesema wale wanaoishi katika ghorofa ya mia moja na hamsini na kuendelea, watalazimika kusubiri dakika tau zaidi ya wenzao.

Jengo hilo, Burj Khalifa, lina ghorofa mia moja na sitini. Waisilam huanza kula futari mara wanapoona jua limezama.

BBC Swahili - Habari - Kisa na Mkasa na Salim Kikeke
USA wapo busy na vita na kubaki na vichuguu kama vya magogoni kwa JK, wenzao wanafanya mambo.! Kwishney Baraka Huseni Obama
 
Tanzania litajengwa mafisadi watakapokufa woote ama ccm kuondoka madarakani tofauti na hivyo tutaishia tu kuyaona kwa wenzetu
 
I may be one of the few Tanzanians kufika katika floor ya 42 kati ya 88 ya Menara Petronas (Petronas Towers) kule Malaysia ambayo ni the tallest twin towers in the world, na hakika masikio yaliziba tulipofika floor fulani hadi tulipolazimika kumeza mate mara kadhaa ili yazibuke. Halafu ijulikane kuwa urefu wa jengo hauna uhusiano wa moja kwa moja na idadi ya floor
 
Back
Top Bottom