Recent content by Mfuatiliaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Kwa wa taalam mm nitaka nipate shule ya haya mambo hasa uwekezaji in term of international hisa na bond wapi wanaconduct semina fupi fupi za wiki au mwezi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Before I die

    Teyari tumemliza lege
  3. M

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Lege unashusha au tulale shukran saba npk hapo Ubarikiwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Tupo ready tunasubiri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Kwani nani ndio stelingi wa hii story ? Naona Mathew anataka kumzidi steringi Elibariki Ila ipo poa sana hongera nasa LEGE JE Una STORY NYINGINE VITABU UNAUZA ? ?vipi hukusu hati miliki ya hii story kama wewe ndio mtunzi pamoja na kutuburudisha ila na wewe upate asali ili tuendeleaa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mafriji used yanauzwa

    freezer unazo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

    mimi tukio ninalo kumbuka tuliona gari inakuja tukasema tulale barabarani tuone nini kitatokea nakumbuka nilikuwa na age kama 5 or 4 years na gari kuiona kijijini ni kama mara moja kwa mwezi kilicho tokea yule dereva alisimamisha gari akachukua fimbo akanichapa wenzangu wakakimbia baada ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza kunipa jibu la hesabu yangu hii?

    105
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kushtua gari ya automatic

    Huyu Lege nimemuelewa sana na kw jinsi alivyo eleza na kwa utaalamu wangu ingawa sijafanya experement naamini itawaka kifupi mi mtu wa IT Nikiaangalia logic z lege gari itawaka kwa logic na wanao sema gar haiwaki wanashidwa toa sababu kwanini haitawaka . Then lege ndio ameanza hapo sabab znaz...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    Beni hongera sana na pole sana nimefurahia makala yako ni nzuri inaelemisha inatia ujariri nimelia kwa mara ya 3 tena kuhusu Mawazo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo waliofukiwa Nyangalata, waokolewa wakiwa hai baada ya kukaa siku 41

    Mungu mwema ila kuna mambo mengine tunafanya uzembe kwa kweli kama watu walikuwa chini ya arthi na hakuna juhudi zozote za kuwaokoa zilizo fanyika kama sio huyo mtu aliye kwenda kufuata pump ingekuwaje.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

    Siamini tanga lowasa kapata asilimia 38 only???
  13. M

    JamiiForums Tanzania Suzuki Carry inauzwa, ipo Dar es Salaam

    imeingia nchini mwaka gani imetembea km ngapi ni ya mwaka gani pichatuone
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada computer yangu imenyeshewa na mvua, Nifanyeje ?

    Kama ilikuwa imezima usiwe na wasiwasi vyifaa vya electronic vya enzi hizi havina shida tafutafundi aifungue aisafishe blower then assembe na kuwasha itapiga mzigo bila shida yoyte ila . Note: Kama upo ukanda wa pwani ni vizuri hio activity uifanya within two day to avoid rust.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa landscaping

    ok sasa hao si bado wanapiwka watakuwa na utaalamu wa kutosaha ? ila akipata na mimi nahitaji anifanyie kwa gharama ndogo
Back
Top Bottom