Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Hayo majedwali yako hayajakaa vizuri.Nimependa mpango wako wa investment, labda ningekushauri kidogo
Nunua Bond ya Miaka 25 kwenye Soko la awali (Primary Market), coupon yake ni 15.95% hebu tuangalie hapo chini mchanganuo wake WA MIAKA 8
Amount Coupon per annum year 1 year 2 year 3 year 4 year 5 Year 6 year 7 Year 8 TOTAL 100,000,000 15.95%15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 127,600,000.00
Kwa mahesabu ya haraka haraka ya reducing Balance ukichukua 100M kwa muda wa miaka 8 mpangilio wake utakuwa kama ifuatavyo
Amount Loan interest Rate no of months monthly Payment 100,000,000.00 5.6%96.00 1,294,752.77
Key issue monthly repayment hyo ya 1.2M
Scenario: mkopo uliochukua hujaweka dhamana Bond lakini umechukua mkopo umenunua bond sababu ya Arbitrage,
sasa sababu umechukua mkopo makato yanaanza kila mwezi! lakini usiogope
kumbuka bond inalipa coupon semi annually maana yake unalipwa 2 times per year kila baada ya miezi 6
so kwa Bond ya 25 years unapata 15.95% kwa mkopo wa milioni 100 ni 15,950,000 M kwa mwaka. Hii inamaanisha kila baada ya miezi 6 utalipwa 7,975,000.00 tsh.
TUANGALIE MALIPO KWA NJIA YA JEDWALI
Monthly Payment Amount Source of Funds Comments TOTAL AMOUNT PAID BY SALARY January 1,294,752.77 Paid by your salary February 1,294,752.77 Paid by your salary March 1,294,752.77 Paid by your salary April 1,294,752.77 Paid by your salary May 1,294,752.77 Paid by your salary June 1,294,752.77 Paid by your salary Receiving coupon from Bond 7,768,516.62 July 1,294,752.77 Paid by bond 7,975,000.00 August 1,294,752.77 Paid by bond 6,680,247.23 September 1,294,752.77 Paid by bond 5,385,494.46 October 1,294,752.77 Paid by bond 4,090,741.69 November 1,294,752.77 Paid by bond 2,795,988.92 December 1,294,752.77 Paid by bond 1,501,236.15 January 1,294,752.77 Paid by bond 7,975,000.00 Receiving coupon from Bond February 1,294,752.77 Paid by bond 6,680,247.23 March 1,294,752.77 Paid by bond 5,385,494.46 April 1,294,752.77 Paid by bond 4,090,741.69 May 1,294,752.77 Paid by bond 2,795,988.92 June 1,294,752.77 Paid by bond 1,501,236.15 July 1,294,752.77 Paid by bond August 1,294,752.77 Paid by bond September 1,294,752.77 Paid by bond October 1,294,752.77 Paid by bond November 1,294,752.77 Paid by bond December 1,294,752.77 Paid by bond
uKIWEZA KULIPA mIEZI 6 YA MWANZONI , BOND ITACOVER MAREJESHO YOTE YALIYOBAKI MPAKA MKOPO UNAISHA , NA PIA UTAPATA TSH 206,483.38 KILA BAADA YA MIEZI 6.
KUMBUKA BAADA YA MKOPO WAKO KUISHA HELA YOTE ITAKAYOINGIA NI YA KWAKO, AMBAPO KUNA HESABU ZAKE ZA KUCOMPOUND PIA TUTAONGELEA SIKU NYINGINE
NB: unapofanya biashara kw adalali lazima akucharge hela ya kukunulia bond, fee ndogo tu ambayosijainclude. Ceteris Paribus
Weka inform of pictures.