Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia

kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho nikajikuta katikati ya barabara ila bahati hakukua na magari yanayokua au kwenda

hili tukioa limekua likinirudia sana kichwani kwangu

Je, wewe unakumbuka kituko gani cha hatari au kukufurahisha ambacho hutokisahau maishani
 
mimi tukio ninalo kumbuka tuliona gari inakuja tukasema tulale barabarani tuone nini kitatokea nakumbuka nilikuwa na age kama 5 or 4 years na gari kuiona kijijini ni kama mara moja kwa mwezi kilicho tokea yule dereva alisimamisha gari akachukua fimbo akanichapa wenzangu wakakimbia baada ya kuchwapa akili ndio ikaja nini kingetokea baada ya dereva kutukanyaga
 
Nakumbuka nilikua na mchezo wa kudandia magali kwa nyuna bila dereva kujua..bas siku moja nilidandia trector nikashindwa kushuka trector lilikua linafata mawe polini mbali kidogo...nlivoona naji yamenizidi ilibidi nijisalimishe tu kwa dereva...dereva akanambie twende wore mpaka anakochukua mawe tutarudi wot,kufika kule alinigonga bakora za kutosha.
Mda wa kurudi trector likaalibika ijabidi tulale ukouko..uku home nako natafutwa sana Aaah keshi yake nilivorudi nlikura njiti za kutosha..
 
Niligoma kwenda shule nikajifanya naumwa.

Wazazi walivoondoka nikapanda mti nikarukia kwa jirani napokatazwaga kwenda. Kulikuwa na watoto hawaendi shule sijui Kwanini.

Nilirudi nyumbani kula tu.

Jioni mida ya baba kurudi, sijui ilikuwaje tukatoka nje kwenye geti Lao. Uso kwa uso na baba.

Nikamwambia shkamoo, nikaenda kwenye geti letu kugonga. Tukawa tumesimama wote, miguu michafuu, tunasubiri kufunguliwa. Sijui Kwanini sikupata stroke.

Nikapata fimbo za kutosha.
 
ha ha hahahahaha
 
mimi tukio ninlo kumbuka tuliona gari inakuja tukasema tulale barabarani tuone nini kitatokea nakumbua nilikuwa na age kama 5 or 4 years na gari kuiona kijijini ni kama mara moja kwa mwezi kilicho tokea yule derevya alisimamisha gari akachukua fimbo akanipapa wenzangu wakakimbia baada ya kuchwapa akili ndi ikaja nini kingetokea
 
mimi nakumbuka nikiwa darasa la tatu niliku mpenzi sana wa samaki sasa mzee alikuwa kila week analeta samaki wa bichi mama anawakaanga fresh anatia ndani ya jokofu.. mimi hata unipe samaki mzima kiu hamu haishi .. nikawa na katabia cha kuokoa samaki nakula upande mmoja halafu namgeuza anaonekana ajaguswa wakati wa kupika mama akiuliza kila mtu anakataa.. siku moja jioni jioni nikafanya huo mchezo wangu wa udokozi acha mfupa unipalie kooni mama ndiyo akagundua mwizi wake ni nani kipigo nilichopata baada ya kutolewa mfupa aisee mpaka leo siwezi gusa kitu cha mtu bila kuomba,........... udokozi mbaya hasa wa samaki
 
Nimecheka hadi machozi
mimi nakumbuka nikiwa darasa la tatu niliku mpenzi sana wa samaki sasa mzee alikuwa kila week analeta samaki wa bichi mama anawakaanga fresh anatia ndani ya jokofu.. mimi hata unipe samaki mzima kiu hamu haishi .. nikawa na katabia cha kuokoa samaki nakula upande mmoja halafu namgeuza anaonekana ajaguswa wakati wa kupika mama akiuliza kila mtu anakataa.. siku moja jioni jioni nikafanya huo mchezo wangu wa udokozi acha mfupa unipalie kooni mama ndiyo akagundua mwizi wake ni nani kipigo nilichopata baada ya kutolewa mfupa aisee mpaka leo siwezi gusa kitu cha mtu bila kuomba,........... udokozi mbaya hasa wa samaki
 
Niligoma kwenda shule nikajifanya naumwa.

Wazazi walivoondoka nikapanda mti nikarukia kwa jirani napokatazwaga kwenda. Kulikuwa na watoto hawaendi shule sijui Kwanini.

Nilirudi nyumbani kula tu.

Jioni mida ya baba kurudi, sijui ilikuwaje tukatoka nje kwenye geti Lao. Uso kwa uso na baba.

Nikamwambia shkamoo, nikaenda kwenye geti letu kugonga. Tukawa tumesimama wote, miguu michafuu, tunasubiri kufunguliwa. Sijui Kwanini sikupata stroke.

Nikapata fimbo za kutosha.
Kumbe ni wewe....! Nakumbuka hio siku ila stori hukuimalizia yote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom