Recent content by mfalmewawaha1

  1. mfalmewawaha1

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Mweleze mmeo kuwa we ndio imemsababishia ili mtubu wrote dhambi mtakasike na muutafute USO wa mungu baada ya hapo katika maombi katika roho na kweli mungu atamfungua.... Tiba hiyo mungu pekee abmnaweza ,mganga hakuna anachokifunga mungu ashindwe.
  2. mfalmewawaha1

    Airtel acheni kutuibia wateja wenu, TCRA angalieni haya makampuni yanavyotufisadi wananchi

    Hata Internet bundle wanatuibia sana tunafanywa kama punda kwa faida ya wachache... Unatumiwa text umepewa one GB kumbe ni mb 500 they created own system to steal us money...tcra mnatumia technology gani kuhakiki quantity ya hivi vifurushi km ni kweli au tunaibiwa km wakala wa vipimo...
  3. mfalmewawaha1

    Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Hahaaaa master puchu ni utahila
  4. mfalmewawaha1

    Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

    Good nimeipenda kumbe kigoma hatukuwahi kuwa nyumba lakini mbona tunaonekana km wananchi wa ziada ???
  5. mfalmewawaha1

    Special thread for both Gender, Q & A Uliza Ujibiwe.

    Fikra finyu ,mkipendana tu hakuna shida. Tatizo tuko kimwili sana sana na ndipo tunapikosea beside nijimpata MTU sahihi cjali ako na mtoto I will Mary her na kulea familia pamoja,mbona wanawake wabatukubali ilihali tunakua na watoto tayari? Everything is both sides tuache ubebali na mambo ya...
  6. mfalmewawaha1

    Naj ni mwanamke mzuri sana

    Upuuzi mtupu Mnakosa mambo ya maana vyovyote alivyo she stay loyal kwa muumba alimuumba.
  7. mfalmewawaha1

    Zitto Kabwe: Nitampeleka Abdul Nondo Uhamiaji tarehe 20/4/2018 kwa mamlaka yangu kama Mbunge wa Kigoma Mjini

    This is not fair kwa hiyo kila mtanzania anaetokea mikoa ya mipakani asiseme kitu kisa ataambiwa tunamashaka na uraia wake...... Huu in ubaguzi inauma sana kubaguliwa, alifikaje university km they didn't verify his nationality? Noo tuwe wakweli jmn kwenye hili I'm not supporting kabisa.haya sasa...
  8. mfalmewawaha1

    Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

    Nimeuza my new premio na naitafuta hiyo gari.... Brevis iko very comfortable ndani,no nzito iko stable hats ukipita kwenye rasta husikii nikama uko kwenye BMW au Benz ,iko fast gari zote huhitaji matunzo brevis hazina tatizo LA engine isipokua mafuta .kuchoka kwa gari kunategemea na matunzo yako...
  9. mfalmewawaha1

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    Hakuna tozo yeyote kwa kuingia ama kutoka katika nchi za sadc..... Ukimwi upo kila mahali si Botswana peke yake, take care isichukue demu wa mtu hutorudi....... Mambo mengine unaweza consult ubalozi, though basi utachoka sana
  10. mfalmewawaha1

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Ni sahihi, commissioned officer kuanzia nyota moja anapokutana na assistant inspector ,inspector au ssp hana ulazima wakumsalimia na Hakuna madhara ya kinidham kwakua wanakua hawana presidential commission..... Kuanzia listen ussu wanapata heshima kubwa kwa kivuli cha raisi...... Hivyo tpdf...
  11. mfalmewawaha1

    MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Wadau vipi na hili la watu WA show room, kubadilisha piston za gari kabla ya kuliuza? Jamaa yangu alifanyiwa hivyo mpk ikamlazimu kufunga piston mpya OG ndio gari ikatulia.
  12. mfalmewawaha1

    CCM yaweza kutawala kwa miaka 100 ikiwa tu...

    Let's us think deeper as we can before we talk....... CCM ndio Chama chenye dola kutekeleza irani ni wajibu......... Msimcopy jpm vibaya.
Back
Top Bottom