CCM yaweza kutawala kwa miaka 100 ikiwa tu...

Nakuelewa. Tunahitaji kulitenganisha JESHI letu NA SIASA. Na hili si siri.IMPLICATIONS zake mara nyingi si nzuri.

Hata hivyo sidhani kama ni TISS na MIA wote wakakubaliana bila ku analyse the aftermath implications of such a thing. Hasa katika nyakati hizi ambazo ni za VYAMA VINGI.
Mimi nafikiri waliohusika na Ku bypass/Kuwapita TISS na MIA Ni MAKADA wa CCM.
I might be wrong but that is what I personally perceive.

Je ni kipi kinawafanya hao makada wa ccm kuwabypass hao TISS? Hii jeuri inatoka wapi kwa mambo yanayoleta walakini? Sio jambo moja au mawili yanafanyika mpaka unajuiliza hizi mamlaka hizi zinatambua wajibu na mipaka yao? Mfano mwingine, jana takukuru wametupilia mbali suala la ushahidi wa Mnyeti kuhusu rushwa kwa maelezo eti hilo suala limeingia siasa!? Siasa ni dhambi nchi hii? Je kila atakayetuhumiwa na rushwa utatuzi wake ni kuingiza siasa. Seriously?
 
Mkuu nakulewa vema.
In brief /Kwa ufupi. Si vizuri kuzichanganya TAASISI za
KISERIKALI,
'KIVYAMA ama
Kiutawala kama sehemu ya government policy/ siasa.!!!!!!!!!!!!!!

Mara yingi visipotenganishwa huleta conflicts of interests/Ugomvii wa kimwegemao,
.NaHivyo kudumaza MAENDELEO na uwazi HUSIKA!
Nakubaliana nawe n ilazima tubadilike.
 
Fia mbali na CCM yako
Mkuu si kauli njema. SIFII CCM balinnatoa hoja. Na kama inakuudhi. Unaweza kukaa kimya ama ujibu kwa hoja chanya ama mbadala.Kutukanana si KUZURI hata kama CCM ni ADUI yako mkubwa sana!!!!!!
 
Mkuu nakulewa vema.
In brief /Kwa ufupi. Si vizuri kuzichanganya TAASISI za
KISERIKALI,
'KIVYAMA ama
Kiutawala kama sehemu ya government policy/ siasa.!!!!!!!!!!!!!!

Mara yingi visipotenganishwa huleta conflicts of interests/Ugomvii wa kimwegemao,
.NaHivyo kudumaza MAENDELEO na uwazi HUSIKA!
Nakubaliana nawe n ilazima tubadilike.

Pole, hili ndilo linaloendelea kwa sasa hapa nchini. Kwa awamu zilizopita jambo hilo lilifanyika kwa siri ya kiwango fulani, lakini kwa sasa hilo liko wazi kabisa. Nashangaa wewe kuonyesha kwamba hali hiyo huioni. Kama umechelewa kuliona hilo, vuta muda utaliona vizuri kwani hizo taasisi sasa zimepewa maagizo kabisa leo kwenye mkutano wa ccm. Mkulu katamka kwa mdomo wake kwamba ni marufuku mtendaji wa serekali kutokufuata amri toka kwa kiongozi wa ccm. Hilo lilishaanza kufanya kazi, ila sasa litakuwa wazi kuliko maelezo. Usishangae ili kujiunga na jeshi lolote itabidi uwe na kadi ya ccm. Muda utasema.
 
Je ni kipi kinawafanya hao makada wa ccm kuwabypass hao TISS? Hii jeuri inatoka wapi kwa mambo yanayoleta walakini? Sio jambo moja au mawili yanafanyika mpaka unajuiliza hizi mamlaka hizi zinatambua wajibu na mipaka yao? Mfano mwingine, jana takukuru wametupilia mbali suala la ushahidi wa Mnyeti kuhusu rushwa kwa maelezo eti hilo suala limeingia siasa!? Siasa ni dhambi nchi hii? Je kila atakayetuhumiwa na rushwa utatuzi wake ni kuingiza siasa. Seriously?
You do have a VALID point that should not be ignored or wished it away/Una Pointi ya maana isiyotaka kutupiliwa mbali.
Ama kudharauliwa.
Thanks.
 
Je ni kipi kinawafanya hao makada wa ccm kuwabypass hao TISS? Hii jeuri inatoka wapi kwa mambo yanayoleta walakini? Sio jambo moja au mawili yanafanyika mpaka unajuiliza hizi mamlaka hizi zinatambua wajibu na mipaka yao? Mfano mwingine, jana takukuru wametupilia mbali suala la ushahidi wa Mnyeti kuhusu rushwa kwa maelezo eti hilo suala limeingia siasa!? Siasa ni dhambi nchi hii? Je kila atakayetuhumiwa na rushwa utatuzi wake ni kuingiza siasa. Seriously?
Nafikiri kila kitengo Kitende kazi na kufanya kazi yake as per its jurisdiction/ kulingana na MIPAKA yake. Hiyo ndo dawa.
La sivyo itakuwa ni Babiloni/CONFUSION-
Whereby no one fears to tell the King Sir this is good or not good.
\Tuache UNAFIKI.
Hata rais Magufuli angependa kusikia neno "HAPANA" na neno mbadala.
U do no need whatsoever to fear him but rather to RESPECT HIM and tell him the whole truth. That is what he wants to hear rather than PAMPERING HIM to gain favour. I supppos so.
 
Pole, hili ndilo linaloendelea kwa sasa hapa nchini. Kwa awamu zilizopita jambo hilo lilifanyika kwa siri ya kiwango fulani, lakini kwa sasa hilo liko wazi kabisa. Nashangaa wewe kuonyesha kwamba hali hiyo huioni. Kama umechelewa kuliona hilo, vuta muda utaliona vizuri kwani hizo taasisi sasa zimepewa maagizo kabisa leo kwenye mkutano wa ccm. Mkulu katamka kwa mdomo wake kwamba ni marufuku mtendaji wa serekali kutokufuata amri toka kwa kiongozi wa ccm. Hilo lilishaanza kufanya kazi, ila sasa litakuwa wazi kuliko maelezo. Usishangae ili kujiunga na jeshi lolote itabidi uwe na kadi ya ccm. Muda utasema.
Tindo, labda aliteleza kidogo na wala hakumaanisha Taasisi ziingiliane.
Itakuwaje Magereza wafanye kazi ya Polisi.
Na CID wafanye kazi ya TISS;
Na kitengo cha kupambana na miharadati/Madawa ya kulewa zipambane na WALEVI?
Askari wa KULINDA WANYAMA PORI wawe Traffic Police?
Huoni tutakuwa tumechanganyikiwa????
Nafikiri ulimnukuu vibya hakumaanisha jinsi unavofikiri.
Ahsante
 
there are countless ways of skinning a cat.

ZANU PF, KANU, Siade Barre, Gadafi, Wahutu, Hosni Mubarak, etc, etc.
So what are your insinuation pertaining to what you have just said sir???
I just do not grasp on what exactly you are trying to allude!!
 
Tindo, labda aliteleza kidogo na wala hakumaanisha Taasisi ziingiliane.
Itakuwaje Magereza wafanye kazi ya Polisi.
Na CID wafanye kazi ya TISS;
Na kitengo cha kupambana na miharadati/Madawa ya kulewa zipambane na WALEVI?
Askari wa KULINDA WANYAMA PORI wawe Traffic Police?
Huoni tutakuwa tumechanganyikiwa????
Nafikiri ulimnukuu vibya hakumaanisha jinsi unavofikiri.
Ahsante

Naona hujaelewa, nimekuambia hizo taasisi sasa zinaweza kupewa maelekezo na wanasiasa ni kipi wafanye na kipi wasifanye. Yaani usishangae mwenyekiti wa ccm mkoa akimuamuru polisi jinsi ya kutekeleza wajibu wake. Usishangae CID akiagizwa na msemaji wa ccm jinsi ya kusimamia vyama vingine vya kisiasa katika wajibu wake wa kisiasa. Katibu wa ccm wa wilaya anaweza kumuagiza afisa wa immigration namna ya kudeal na wahamiaji. Sio kuteleza ni mambo yako wazi. Sasa hivi tunaona wanaccm wakiwajeruhi wapinzani wao kisiasa mbele ya polisi na hakuna hatua inachukuliwa. Kwa mazingira haya inaonyesha jeshi la polisi linapata maaagizo toka ccm kufumbia macho uhalifu wao. Haya yako wazi.
 
Je ni kipi kinawafanya hao makada wa ccm kuwabypass hao TISS? Hii jeuri inatoka wapi kwa mambo yanayoleta walakini? Sio jambo moja au mawili yanafanyika mpaka unajuiliza hizi mamlaka hizi zinatambua wajibu na mipaka yao? Mfano mwingine, jana takukuru wametupilia mbali suala la ushahidi wa Mnyeti kuhusu rushwa kwa maelezo eti hilo suala limeingia siasa!? Siasa ni dhambi nchi hii? Je kila atakayetuhumiwa na rushwa utatuzi wake ni kuingiza siasa. Seriously?
Kilamtu asimamie sehemu yake.
 
Naona hujaelewa, nimekuambia hizo taasisi sasa zinaweza kupewa maelekezo na wanasiasa ni kipi wafanye na kipi wasifanye. Yaani usishangae mwenyekiti wa ccm mkoa akimuamuru polisi jinsi ya kutekeleza wajibu wake. Usishangae CID akiagizwa na msemaji wa ccm jinsi ya kusimamia vyama vingine vya kisiasa katika wajibu wake wa kisiasa. Katibu wa ccm wa wilaya anaweza kumuagiza afisa wa immigration namna ya kudeal na wahamiaji. Sio kuteleza ni mambo yako wazi. Sasa hivi tunaona wanaccm wakiwajeruhi wapinzani wao kisiasa mbele ya polisi na hakuna hatua inachukuliwa. Kwa mazingira haya inaonyesha jeshi la polisi linapata maaagizo toka ccm kufumbia macho uhalifu wao. Haya yako wazi.
Mambo hayo hujadiridiwa akatika kamati ya ulinzi na Usalama. Kimkoa ama wilaya nk. Hivyo si MTUBINAFSIanatoa amri yake binafsi kuhusu jambo lililojadiriwa. Na in case askari ni SHARP ANAWERZZA JKU7 DEFY/kukataaa agizo LISILO KUWA LIMEJADIRIWA AMA LIKO KISHERIA.
Kwa mfano mku u wa mkoa ama Wilaya aamrishe POLISI kwenda kuuua watu KIJIJI FULANI kwa sababu wanaonekna ni WAPINZANI kwa kuwapiga risasi KIJIJI KIZIMA
Polisi ama askari yeyote aliyejifunza sheria za kijeshi ETHICS zake/ Maadili yake. Ana HAKI kisheria KUKATAAA AGIZO hilo la MKUU WAKE Na sheria ITAMLINDA.
 
Naona hujaelewa, nimekuambia hizo taasisi sasa zinaweza kupewa maelekezo na wanasiasa ni kipi wafanye na kipi wasifanye. Yaani usishangae mwenyekiti wa ccm mkoa akimuamuru polisi jinsi ya kutekeleza wajibu wake. Usishangae CID akiagizwa na msemaji wa ccm jinsi ya kusimamia vyama vingine vya kisiasa katika wajibu wake wa kisiasa. Katibu wa ccm wa wilaya anaweza kumuagiza afisa wa immigration namna ya kudeal na wahamiaji. Sio kuteleza ni mambo yako wazi. Sasa hivi tunaona wanaccm wakiwajeruhi wapinzani wao kisiasa mbele ya polisi na hakuna hatua inachukuliwa. Kwa mazingira haya inaonyesha jeshi la polisi linapata maaagizo toka ccm kufumbia macho uhalifu wao. Haya yako wazi.
NIMEKUJIBU TU MUDA HUU
 
Let's us think deeper as we can before we talk....... CCM ndio Chama chenye dola kutekeleza irani ni wajibu......... Msimcopy jpm vibaya.
 
Hapo number 6 ndo roho ya ccm ilipoegemea, hiyo ndo engine ya umafya was ccm, tiss ni ccm na ccm ni tiss, tembelea mikoani majengo yote ya ccm ndimo walimo tiss hata hapo lumumba tiss wamo wengi tu, huu mwingiliano was tiss na ccm ndo uliotufikisha hapa na unatupeleka kuzimu maovu yote ya serkali yanafichwa wadadisi wanashughulikiwa, tiss in return wanapewa vyeo na nafasi za kazi kwenye taasisi zote za serkali matokeo yake taasisi hazina ufanisi maana fisadi ni tiss anaetakiwa kumchunguza takukuru nae ni tiss, kesi ikienda mahakamani Jaji nae ni tiss, it is a vicious circle
Sidhani ni kweli,mkuu.
 
So what are your insinuation pertaining to what you have just said sir???
I just do not grasp on what exactly you are trying to allude!!
when your eyes can't see beyond green and yellow, you'll never understand a thing my friend!
 
Let's us think deeper as we can before we talk....... CCM ndio Chama chenye dola kutekeleza irani ni wajibu......... Msimcopy jpm vibaya.
Kindly elaborate. Who is THAT thinking contrary?
Kindly read again and grasp deeper what this writer in his writing entails or what is alluding to before beginning or running amok!!!
 
Back
Top Bottom