Recent content by Mfalme26

  1. Mfalme26

    Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

    Sio tu la Ovyo bali lina LAANA.
  2. Mfalme26

    Nalipongeza Jeshi la polisi Dar kwa kuwadhibiti Vijana walioingizwa mitaani na wahuni

    Maandamano ya Amani yapo kikatiba, ikiwa wanaoandamana wanapinga uwepo wa jambo fulani linaloenda kinyume na kufanyika sivyo ndivyo. Hata kama wameyazima lakini wakae watambue kuwa Mungu Yupo na Muovu akitawala wananchi wanaugua. Mungu yupo na atatenda haki, kama vile alivyotenda nyakati zote.
  3. Mfalme26

    Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

    Punguza vyakula vya wanga kabisa. Kula sana mboga na matunda kwa wingi na endapo chakula chako kitahusisha wanga, basi kula wanga size ya ngumi yako.. Usiache kula mchana na asubuhi maana muda huo Digestion inafanyika vizuri na mwili unahitaji nishati zaidi. Hivyo, Epuka kula chakula kingi wakt...
  4. Mfalme26

    Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Hakika huu ni uzi pendwa sana.. Lakini cha kushangaza wadau watapita kama hawahuoni vile! KUSOMA VITABU KUNAONGEZA MAARIFA NA AKILI.
  5. Mfalme26

    Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Mabibo-Goba Kigamboni-Mabibo Tegeta--Ubungo
  6. Mfalme26

    True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Usijali mkuu, amekukosa huyo. The same situation ilinikuta. After pills nenda kapime. Bilieve me uko safe. N:B Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa! Hauwez kumuamini MTU kwa kumtazama tu! Acha ngono zembe au mara zote jitahidi kujua hali Ya kila mwenza unayekutana nae, tumia kinga kila mara...
  7. Mfalme26

    Tanroads! Barabara zenu Dar es Salaam ni mbovu kupindukia. Tuambieni sisi wananchi mna mipango gani na sisi?

    Naunga mkono hoja.. Inatakiwa wabadilike katika kujenga barabara zenye ubora. Inashangaza kuona barabara zinajaa maji na kusababisha foleni mvua inaponyesha hata kidogo tu! Yaani mitaro ya maji inayojengwa pembezoni mwa barabara ndio inayoleta shida yote hyo na zile chemba za maji. Hapo ni...
  8. Mfalme26

    Mnaomsifia Hayati Magufuli mnatutia kinyaa

    Nakuunga mkono na miguu yote mtoa mada.. TULIKUWA NA RAIS WA HOVYO HAIJAPATA KUTOKEA.. TUMSHUKURU MUNGU ALIVYOAMUA KUINGILIA KATI.
  9. Mfalme26

    Natafuta App inaitwa dexcon tun 8

    Wasubiri wajuzi wanakuja
Back
Top Bottom