Ibra tiger
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 285
- 645
Nianze moja kwa moja,
Nlikua nafatilia Kongamano la Rasimu ya Sera Mpya ya Elimu na Mitaala ya 2023, katika mabadiliko hayo mojawapo ni namna ya kuandaa na kuajiri walimu.
Katika sera hii walimu watatakiwa kufanyiwa usahili na watakaopita ndio wataajiriwa, na walimu wote pia watatakiwa kusajiliwa.
Vile vile kunamabadiliko mazuri katika kuandaa walimu, ambapo sasa ualimu ngazi ya cheti utakoma badala yake walimu wa msingi watakuwa waliyohitimu Kidato cha Sita na watasoma Diploma ya Elimu ya Msingi kwa miaka miwili.
Kwa walimu wa sekondari watakuwa wakisoma Shahada ya Ualimu kwa miaka mitatu na mwaka mmoja wa internship jumla miaka minne.
Kiukweli haya ni mabadiliko chanya, kwani mkazo mkubwa katika kuandaa walimu sasa utajikita katika elimu kwa vitendo yaani elimu ya amali.