Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Asante sana.

kwa mara ya kwanza nimekupata daktari (naomba nikuite hivyo). ila sindano zinachosha...yaani huwezi amini kila baada ya week 3 nachoma sindano kwa maisha yangu yote 🤧🤧🤧... at least ingekuwa baada ya miezi mitatu yaani sindano nne per year...

Asante sana
Naelewa unachokipitia please naomba jikaze nakuomba sana..utapona tu sindano ndio tiba yenye ufanisi imara kwako
 
Samahani kama nimekukwaza ila huu ni mwili wangu siyo wa daktari.Asante
Jitibu mwenyewe sasa. Au tengeneza dawa yako ya kupaka. We ukienda kwa wale mabwana wasikilize wanavokushauri sio unaleta masharti kabla. Ungekuwa unaijua hiyo dawa ya kupaka si ungenunua tu ujipake?
 
Hivi kumbe mtu anaweza kusense kufokea ata kwenye maandishi?
paqwa Unashangaa eeh..kwako ajabu sana🤦Aisee mbona ni jambo dogo
sana kujua hilo wala hutumii akili kubwa ni kwa akili ndogo sana ya mtoto wa 6 years akisoma maandishi yako anaelewa kua unafoka..anaelewa kua wewe ni mtu wa Visirani..anaelewa kua wewe ni mtu usiejali Maumivu wala Hisia za waliokuzunguka😊

Kwa taarifa yako sio kufoka tu tayari nishakusoma ww ni mtu aina gani kuanzia kwenye ngazi ya family yako..kazini/Ofisini na kwa Jamii kwa ujumla

Maandishi yana reflect Personality yako kwa Asilimia 100 kwa ufupi yanakuelezea Uhalisia wako jinsi ulivyo

Kama hauna cha maana cha kuandika ni busara ukanyamaza tu😊
 
paqwa Unashangaa eeh..kwako ajabu sanaAisee mbona ni jambo dogo
sana kujua hilo wala hutumii akili kubwa ni kwa akili ndogo sana ya mtoto wa 6 years akisoma maandishi yako anaelewa kua unafoka..anaelewa kua wewe ni mtu wa Visirani..anaelewa kua wewe ni mtu usiejali Maumivu wala Hisia za waliokuzunguka

Kwa taarifa yako sio kufoka tu tayari nishakusoma ww ni mtu aina gani kuanzia kwenye ngazi ya family yako..kazini/Ofisini na kwa Jamii kwa ujumla

Maandishi yana reflect Personality yako kwa Asilimia 100 kwa ufupi yanakuelezea Uhalisia wako jinsi ulivyo

Kama hauna cha maana cha kuandika ni busara ukanyamaza tu
Na inakuaje mfano mtu akipata ngiri anaweza kuzalisha?
 
Jitibu mwenyewe sasa. Au tengeneza dawa yako ya kupaka. We ukienda kwa wale mabwana wasikilize wanavokushauri sio unaleta masharti kabla. Ungekuwa unaijua hiyo dawa ya kupaka si ungenunua tu ujipake?
Kwanini unashupaza shingo kwa jambo lisilokuhusu na usilolijua, utapungukiwa nini ukikaa kimya.?.. au JF siku hizi inatoa tuzo kwa wajuaji hebu kaa kimya ..

Kwa taarifa yako nimeishapata dawa ya capsules, sasa kama ningekaa kimya ningezitoa wapi, tulia basi .
 
paqwa Unashangaa eeh..kwako ajabu sana🤦Aisee mbona ni jambo dogo
sana kujua hilo wala hutumii akili kubwa ni kwa akili ndogo sana ya mtoto wa 6 years akisoma maandishi yako anaelewa kua unafoka..anaelewa kua wewe ni mtu wa Visirani..anaelewa kua wewe ni mtu usiejali Maumivu wala Hisia za waliokuzunguka😊

Kwa taarifa yako sio kufoka tu tayari nishakusoma ww ni mtu aina gani kuanzia kwenye ngazi ya family yako..kazini/Ofisini na kwa Jamii kwa ujumla

Maandishi yana reflect Personality yako kwa Asilimia 100 kwa ufupi yanakuelezea Uhalisia wako jinsi ulivyo

Kama hauna cha maana cha kuandika ni busara ukanyamaza tu😊
Afadhari umejaribu kumuelewesha na ndiyo ukubwa huo, hongera.
 
Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.

Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.

Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda mrefu,kupungua umakini wangu,kuwa mtu wa msongo wa mawazo kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kupungua kwa mwili (kudhoofu mwili).

Nilirudi kumuona daktari akanieleza nina (Low testosterone (male hypogonadism) akanipatia dawa ya kuchoma kila mwezi ila inachosha, nimesikia ipo ya kupaka (gels) na vidonge (capsules).

Nimeipenda ya kupaka yaani Gel TRT au Cream,sasa je nitaipata wapi pale hospital hawa dawa hiyo msaada tafadhari....
Mm sio Dr ila hao madaktari hawakwambii ukweli korodani ndoa zinazalisha hizo hormone na zimeondolewa hapo unategemea Nini? Labda wakuwekee artificial hormone, hapo ulishakuwa impotent huwezi kunyandua Dem , pole sana mkuu hiyo ndoa inaitwa hujafa hujaumbika
 
Ndiyo hivyo walinieleza baada ya kuzitoa na sikuwa na namna nipo hapa kuziulizia hizo artificial (Testosterone Replacement Therapy) kifupi TRT . Msaada tafadhari.
 
Kwanini unashupaza shingo kwa jambo lisilokuhusu na usilolijua, utapungukiwa nini ukikaa kimya.?.. au JF siku hizi inatoa tuzo kwa wajuaji hebu kaa kimya ..

Kwa taarifa yako nimeishapata dawa ya capsules, sasa kama ningekaa kimya ningezitoa wapi, tulia basi .
Pole sana mkuu.
Mungu ni mwema sana utakua sawa.
Achana na mpumbavu huyo asikuumize
 
Back
Top Bottom