Mbona hukuuliza kampeni nzima ilitumia pesa ngapi unauliza pesa uliyochanga wewe wakati inawezakana hata hukushiriki hata kidogo tujifunza kuongelea mambo ya msingi
Jibu letu ni washabiki wacha tuishi hivo binafsi sina cha kumuona p...zda analamaana analofanya huwezi kukamata wezi wakati wewe hujajikamata hilo ni changa la macho
Huyu jamaa binafsi ninajua kuwa ni msomi mzuri na nimtu amabae ni mfano wa kuigwa ila hutumia vibaya uwezo alionao kile kitendo cha kukiuza chadema kwa billions ambazo alikuwa anatumiwa Germany kwenye akaunti ya mwanamke mmoja aliesoma nae shule na kisha kutumiwa kwa western union kuanzia mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.