iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Serikali ya awamu ya tano iliahidi elimu bure miezi sita iliyopita,mwanafunzi hatalipia kitu,wadau mlioko katika sekta ya elimu mtupe mrejesho,je kiasi gani kimefikishwa kwenye shule zetu?pesa zimepelekwa mara ngapi?hali ikoje?je elimu itakombolewa au tunaongeza mahudhurio tu?