lacuna
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 654
- 168
Nabaki kujiuliza sisi watz tuliokuwa wajinga kipindi cha uchaguzi 2015,akili zetu zilishikwa ama vipi,maana naona watanzania wenzangu wengi tulikuwa kama fata upepo tu hawa kwa huu umoja wa ukawa,mbowe kaandaa harambee tumetoa hela kibao,hatujui hata jumla ilikuwa ngapi na zilitumika vipi?Hakuna mtz yoyote anayehoji juu ya hili!Huo ni utapeli mkubwaaa