ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Kuna sifa za kipekee alizo nazo Magufuli nazo ni kumcha Mungu, kutojikweza, kubana matumizi, kuweka maslahi ya taifa mbele, kutopendelea, kutumbua majipu hata yaliyokaa pabaya! Je Zitto anaweza kuvaa viatu hivyo..??
Hawezi! Miguu yake ni midogo mno. Halafu ana uroho na uchu wa pesa na madaraka.