TAARIFA

Utafiti uliofanywa na wasomi wa chuo kikuu cha NOTTINGHAM nchini uingereza umesema kwamba WATANZANIA ndio watu WANAFIKI wakubwa DUNIANI

Jina la research, qualitative and quantitative data na jina la researcher plz.
 
Tupe details za utafiti Huo ulivyofanyika. Naona kama tumeonewa hivu

Tumeonewa kivipi?

Hukusikia mtu aliitwa fisadi kwa miaka nane mfululizo halafu ndani ya wiki mbili tukaambiwa siyo fisadi na mwenye ushahidi aulete apelekwe kortini?

Na baadhi ya watu wakakubali. Nadhani hili tukio ndo limetupa ushindi.
 
Inawezekana kuna ukweli katika hili watanzania ni wanafiki sana
Ila wewe tunaomba ushahidi wa huo uchunguzi tumechoka matusi ya wazungu
 
Huu ni ukweli mtupu, tena wangeongezea pia sisi ni watu waoga sana duniani kama nyumbu
 
Back
Top Bottom