Recent content by Mesehomie

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

    Tandika viboko hiyo kenge
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kale katabia kakubariki na kujivunia umasikini naona kanaisha Tanzania

    Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

    Moja ya member unayepost nonsense jf ni wewe Wake up bro
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

    Tumia logic Wewe kama Mwanaume usiandike tu bullshit
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Vp
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Umri ni namba
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Pole
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Target yangu ni Vijana WA kiume wawe strong
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Wakat ni ukuta life span ya mwafrika imeshuka hadi 72yrs. Changa karat mapema
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni. Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k. Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 27 naonekana kama above 35yrs

    Mimi ni kijana WA kiume Nimezaliwa 1995 (27miaka) Ila muonekano WANGU ni tofauti kabsa n'a umri wangu halisi. Nmeuliza watu randomly mtaani wakadirie umri majibu yanarange ,miaka 34,35,36 Nimepata emotional Demage , confidence imepangua sana Tizama Hizi picha zangu Nmepiga Leo then tia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

    Mtaji , business plan , location over
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanatakiwa kujifunza hili kuhusu wanawake

    Ujinga tu Mawazo mgando
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

    Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
Back
Top Bottom