Nilikutana na askari Magereza wamebeba wafungwa wenye sare (nguo) za rangi ya bluu ndio wafungwa gani hawa?

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,550
6,108
Nacho fahamu mimi wafungwa huvaa nguo za rangi ya orange au karoti. Lakini siku moja nipo sehemu nikaona askari Magereza wakiwa wamebeba wafungwa wenye sare za rangi ya bluu. Vipi zile za rangi ya karoti zimebadilishwa?
 
1701519926386.jpg
 
Back
Top Bottom