Nina miaka 27 naonekana kama above 35yrs

Nina miaka 27 naonekana kama above 35yrs

Mesehomie

Member
Joined
Oct 25, 2023
Posts
30
Reaction score
180
Mimi ni kijana WA kiume Nimezaliwa 1995 (27miaka) Ila muonekano WANGU ni tofauti kabsa n'a umri wangu halisi.

Nmeuliza watu randomly mtaani wakadirie umri majibu yanarange ,miaka 34,35,36

Nimepata emotional Demage , confidence imepangua sana

Tizama Hizi picha zangu Nmepiga Leo then tia neno au ushauri🤔🤔
 
Inabid uende gaza
JamiiForums-584697601.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Punguzaa kulaa chips yai na chombezaa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]( jokes)
 
Unatumia Baby Care au Sabuni Mkuu? JOKE.

ANGALIA KWENYE UKOO WENU MKUU, HUENDA IKAWA UMERITHI SURA YA KIUTU UZIMA KWA NDUGU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kuna mtu mimi nilikuaga namuonaga kama mzee yani nilimkadiria 40-45 hiv,ina hata salamu nilikua nampa ile ya heshima yani kiutu uzima kabisa... siku niliyokuja kuona umri wake kwenye vitambulisho vyake sikuamini na sitaamini hadi kesho eti ana miaka 29 😒😒
 
Kuna mtu mimi nilikuaga namuonaga kama mzee yani nilimkadiria 40-45 hiv,ina hata salamu nilikua nampa ile ya heshima yani kiutu uzima kabisa... siku niliyokuja kuona umri wake kwenye vitambulisho vyake sikuamini na sitaamini hadi kesho eti ana miaka 29 [emoji19][emoji19]
Ww si mzazi wake ulimzaa ni halali usiamini
 
Kuwa na umri mkubwa au mdogo kunakusaidia nini?in short akili yako haina kazi ya kufanya.
 
Mimi ni kijana WA kiume Nimezaliwa 1995 (27miaka) Ila muonekano WANGU ni tofauti kabsa n'a umri wangu halisi.

Nmeuliza watu randomly mtaani wakadirie umri majibu yanarange ,miaka 34,35,36

Nimepata emotional Demage , confidence imepangua sana

Tizama Hizi picha zangu Nmepiga Leo then tia neno au ushauri🤔🤔

Kweli wewe ni kijana wa kiume...
 
Kuna mtu mimi nilikuaga namuonaga kama mzee yani nilimkadiria 40-45 hiv,ina hata salamu nilikua nampa ile ya heshima yani kiutu uzima kabisa... siku niliyokuja kuona umri wake kwenye vitambulisho vyake sikuamini na sitaamini hadi kesho eti ana miaka 29 😒😒
Kwa hiyo humsalimii tena
 
Back
Top Bottom