Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

Kuna rafiki yangu alioa akiwa na miaka 26
Alikuwa yuko poa kimuonekano kwa sisi tunaomuona nje

Tulikuja kuujua ugumu wa ndoa siku alivyokunywa pombe akalewa
Kama mnavyojua pombe ikikolea unakuwa msema kweli mpenzi wa Mungu [emoji28]
Akamwaga upupuu pwaAaaaaaaaaa

Na nyie mnamwangalia tu ila wanawake kweli wa kuwowa tu
 
Kuna vitu vya kimaendeleo kama hujafanya ukiingia kwenye ndoa uwezekano wa kuvifanya inabaki kuwa 5%, ndo yaleyale ya kuanza ujenzi na kuhamia kwako na familia nyumba haina sakafu wala ceiling board. Dogo anaanza la kwanza mpaka anaingia form one bado unapambana na ela ya kuweka madirisha na tiles. Hayo maisha mimi binafsi nimeyakataa. Bora niishi single kibabe ndani kila kitu standard na usafiri juu nyumba ya kupanga nikiwa single huku nikipambana na ujenzi taratibu bila pressure kutoka kwa kiumbe chochote kuliko kulazimisha kuoa na kuanza kuangaika na binadamu mwingine ambaye hata sijui kakulia wapi. Sipingi ndoa ila vijana wanakurupuka na wanajikuta wamenasa na kurudi nyuma hawawezi. Ndoa ni sawasawa na kununua gari ela yote wakati huna kazi ya kueleweka, jamii inakusifu unatembelea matako huku taa ya mafuta muda wote inawaka, hata service ni ishu, kupanda daladala unaona noma, uzuri wa gari waweza kuliuza hata kwa hasara Ili ujipange upya. Ila mke unaye tu, ulikosea ulipatia wako tu. Ana akili za maisha hana unaye tu. TILL DEATH DO YOU APART. Changeni karata zenu vizuri kabla ya kukurupuka.
Una point kubwa sana, lakini hapa mwanamke umemposition kama "liability" na ndipo tatIzo la jamii zetu lilipo kwa sasa.
Mke au mume kwenye ndoa ni partner, a friend, destiny helper, mtu atayekusaidia kukamilisha kusudi lako hapa duniani kamwe hawezi kuwa mzigo.
Tunaoana bila hata kujitambua Wala kutambuana huyu ni nani, Mimi ni nani, nataka mtu wa aina gani.
Tumekaririshwa na jamii tuliyoikuta kuoa na kuolewa bila kujua nini kipi cha msingi kama jukumu na wajibu wa kila mmoja, acheze nafasi yake vizuri.
 
Kuna vitu vya kimaendeleo kama hujafanya ukiingia kwenye ndoa uwezekano wa kuvifanya inabaki kuwa 5%, ndo yaleyale ya kuanza ujenzi na kuhamia kwako na familia nyumba haina sakafu wala ceiling board. Dogo anaanza la kwanza mpaka anaingia form one bado unapambana na ela ya kuweka madirisha na tiles. Hayo maisha mimi binafsi nimeyakataa. Bora niishi single kibabe ndani kila kitu standard na usafiri juu nyumba ya kupanga nikiwa single huku nikipambana na ujenzi taratibu bila pressure kutoka kwa kiumbe chochote kuliko kulazimisha kuoa na kuanza kuangaika na binadamu mwingine ambaye hata sijui kakulia wapi. Sipingi ndoa ila vijana wanakurupuka na wanajikuta wamenasa na kurudi nyuma hawawezi. Ndoa ni sawasawa na kununua gari ela yote wakati huna kazi ya kueleweka, jamii inakusifu unatembelea matako huku taa ya mafuta muda wote inawaka, hata service ni ishu, kupanda daladala unaona noma, uzuri wa gari waweza kuliuza hata kwa hasara Ili ujipange upya. Ila mke unaye tu, ulikosea ulipatia wako tu. Ana akili za maisha hana unaye tu. TILL DEATH DO YOU APART. Changeni karata zenu vizuri kabla ya kukurupuka.
Naona una mkataba na kifo eeee?
 
Nashauri ukiwa unaingia hakikisha una uwezo wa kulipa kodi ya nyumba, una uwezo wa kununua chakula na mahitaji muhimu (kwa pesa zako sio zake) kama huwezi kufikiria mara 2 vinginevyo utamchukia au utaibiwa

Ushauri wangu sio sheria
 
Kuna rafiki yangu alioa akiwa na miaka 26
Alikuwa yuko poa kimuonekano kwa sisi tunaomuona nje

Tulikuja kuujua ugumu wa ndoa siku alivyokunywa pombe akalewa
Kama mnavyojua pombe ikikolea unakuwa msema kweli mpenzi wa Mungu 😅
Yes ndoa si rahisi, ni kwa sababu wote tunaishi hapahapa chini ya jua, dunia si rahisi.
Usitarajie urahisi kwenye ndoa.
Kinachotakiwa ni maarifa ya kudeal na hayo.

Kwa hiyo wala is not an oh 😳 thing, sema jamii haitaki kuweka mambo hadharani, yanalembwalembwa na kufichwafichwa, kwa sababu tofauti ( zikiitwa maadili)
It's high time watu waambiwe ukweli what to expect in a marriage, huwa tunaishia kuambuwa kavumilianeni bila kutaja what to vumilia.
Ndoa inataka akili iliyopevuka.
 
Sidhani kama watu hawaambiwi na hawasikii kuhusu ugumu wa ndoa

Ni vile tu maneno ya kuambiwa huwa ni ngumu kuelewa hadi uyaishi
 
Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni.
Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k.

Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua

Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo na masharit ya ndoa halafu stay real focus n'a maisha

Mwambie mwamke wako akupende asikupende Ila kukuheshimu ni lazima

Mwambie hakuna second chance akikucheat anarudi nyumban kwao stay strong .

tongoza mara moja kama hakutaki achan nae wanawake ni mwengi sana.

miaka 30 ni Muda WA kutafuta mtoto WA pili Mwanaume
Tujiulize kwanza Kuoa ni Asset au liability?
Ndio tujadili Mambo mengine
 
Miaka 26 unaoa ili iwe nini sasa, kijana wangu akiniletea habari za kuoa 20s nitampa viboko mbele ya huyo bi harusi.....
Sorry.. unataka aoe akiwa na 35?

Tunakosea sana kuchelewa kuoa. Ni kosa kubwa. Kama mtu umefika 35+ na hajaoa wala kuolewa ni heri aachane na hiyo ndoa aendelee na Maisha yake.

Watu wengi wanapima kwa mizani ya kipato/kiuchumi wakati kuna mambo mengi ya kimsingi mfano Watoto na malezi yao.

Life expectancy ya TZ ni 50 yrs. Unaoa ukiwa na 35 ina maana mtt wako kama utapata ukiwa na 40 utamlea kwa miaka 10 tu na miaka inayobaki ni tia maji tia maji.

Unasomesha mtt kwa hela za pensheni.
 
Oeni Tu sasa
 
Ndoa sio jambo linalotegemea umri, ni jambo la utayari. Kama utasukumwa na umri ila ndani yako hakuna utayari utakuwa umepoteza muda.

Kwenye ndoa hatutafuti tu watoto kwamba umri wa miaka 29 unatakiwa uwe na watoto wawili blah blah..

Ndoa ni maisha wapo ambao wanao hao watoto, Mali n.k ila bado wanazikimbia ndoa zao. Pia kuzaa kwasasa sio kama zamani kwamba unazaa tu watoto nyumbani kuna mashamba watalima.

Sasa hivi ukizaa ujue umejiongezea jukumu kubwa sana ambalo linahitaji pesa yako, uangalizi wako, muda wako n.k.

Vijana wapewe elimu ya mahusiano na ndoa kisha waachwe wafanye maamuzi
 
Kuna vitu vya kimaendeleo kama hujafanya ukiingia kwenye ndoa uwezekano wa kuvifanya inabaki kuwa 5%, ndo yaleyale ya kuanza ujenzi na kuhamia kwako na familia nyumba haina sakafu wala ceiling board. Dogo anaanza la kwanza mpaka anaingia form one bado unapambana na ela ya kuweka madirisha na tiles. Hayo maisha mimi binafsi nimeyakataa. Bora niishi single kibabe ndani kila kitu standard na usafiri juu nyumba ya kupanga nikiwa single huku nikipambana na ujenzi taratibu bila pressure kutoka kwa kiumbe chochote kuliko kulazimisha kuoa na kuanza kuangaika na binadamu mwingine ambaye hata sijui kakulia wapi. Sipingi ndoa ila vijana wanakurupuka na wanajikuta wamenasa na kurudi nyuma hawawezi. Ndoa ni sawasawa na kununua gari ela yote wakati huna kazi ya kueleweka, jamii inakusifu unatembelea matako huku taa ya mafuta muda wote inawaka, hata service ni ishu, kupanda daladala unaona noma, uzuri wa gari waweza kuliuza hata kwa hasara Ili ujipange upya. Ila mke unaye tu, ulikosea ulipatia wako tu. Ana akili za maisha hana unaye tu. TILL DEATH DO YOU APART. Changeni karata zenu vizuri kabla ya kukurupuka.u

Kuna vitu vya kimaendeleo kama hujafanya ukiingia kwenye ndoa uwezekano wa kuvifanya inabaki kuwa 5%, ndo yaleyale ya kuanza ujenzi na kuhamia kwako na familia nyumba haina sakafu wala ceiling board. Dogo anaanza la kwanza mpaka anaingia form one bado unapambana na ela ya kuweka madirisha na tiles. Hayo maisha mimi binafsi nimeyakataa. Bora niishi single kibabe ndani kila kitu standard na usafiri juu nyumba ya kupanga nikiwa single huku nikipambana na ujenzi taratibu bila pressure kutoka kwa kiumbe chochote kuliko kulazimisha kuoa na kuanza kuangaika na binadamu mwingine ambaye hata sijui kakulia wapi. Sipingi ndoa ila vijana wanakurupuka na wanajikuta wamenasa na kurudi nyuma hawawezi. Ndoa ni sawasawa na kununua gari ela yote wakati huna kazi ya kueleweka, jamii inakusifu unatembelea matako huku taa ya mafuta muda wote inawaka, hata service ni ishu, kupanda daladala unaona noma, uzuri wa gari waweza kuliuza hata kwa hasara Ili ujipange upya. Ila mke unaye tu, ulikosea ulipatia wako tu. Ana akili za maisha hana unaye tu. TILL DEATH DO YOU APART. Changeni karata zenu vizuri kabla ya kukurupuka.
Wakat ni ukuta life span ya mwafrika imeshuka hadi 72yrs. Changa karat mapema
 
Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni.

Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k.

Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua

Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo na masharit ya ndoa halafu stay real focus n'a maisha

Mwambie mwamke wako akupende asikupende Ila kukuheshimu ni lazima

Mwambie hakuna second chance akikucheat anarudi nyumban kwao stay strong .

tongoza mara moja kama hakutaki achan nae wanawake ni mwengi sana.

miaka 30 ni Muda WA kutafuta mtoto WA pili Mwanaume
Wee bwana umebugi sehemu moja tuu...mke aachwi eti kisa kagegedwa na de libolo lingine. Mzee uta acha wengi sana maana mke kucheat kwenye ndoa ni 100%
 
Kuna vitu vya kimaendeleo kama hujafanya ukiingia kwenye ndoa uwezekano wa kuvifanya inabaki kuwa 5%, ndo yaleyale ya kuanza ujenzi na kuhamia kwako na familia nyumba haina sakafu wala ceiling board. Dogo anaanza la kwanza mpaka anaingia form one bado unapambana na ela ya kuweka madirisha na tiles. Hayo maisha mimi binafsi nimeyakataa. Bora niishi single kibabe ndani kila kitu standard na usafiri juu nyumba ya kupanga nikiwa single huku nikipambana na ujenzi taratibu bila pressure kutoka kwa kiumbe chochote kuliko kulazimisha kuoa na kuanza kuangaika na binadamu mwingine ambaye hata sijui kakulia wapi. Sipingi ndoa ila vijana wanakurupuka na wanajikuta wamenasa na kurudi nyuma hawawezi. Ndoa ni sawasawa na kununua gari ela yote wakati huna kazi ya kueleweka, jamii inakusifu unatembelea matako huku taa ya mafuta muda wote inawaka, hata service ni ishu, kupanda daladala unaona noma, uzuri wa gari waweza kuliuza hata kwa hasara Ili ujipange upya. Ila mke unaye tu, ulikosea ulipatia wako tu. Ana akili za maisha hana unaye tu. TILL DEATH DO YOU APART. Changeni karata zenu vizuri kabla ya kukurupuka.
Kuna kipindi nipo kitaa,hali ni tete,sijui pa kuanzia,giza totoro, stress,nakutana na jamaa kafanyiwa kila kitu na wazazi wake,nyumba kapewa aishi bure,hajui kodi hua Tsh ngapi,gari kanunuliwa,mpk kuoa kasaidiwa baadhi ya mambo

Eti akawa ananisisitiza mimi nioe 🙆😊😄😄
Nilikua namuona ni mwehu sijui alitaka nije kuishi maisha gani na huyo mwanamke 🙆🙆

Jamani Maisha hatufanani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom