Dah kaka nimesikitika sana kuona nyuzi zinaunganishwa kiasi cha emoji uliyoweka katika mambo ya kisiasa kuona inalazimishwa itumike kwenye mambo ya huzuni hili sijalipenda moderator .
Kaka KERATO MOMBAA huu uzi aliupandisha awali ulikuwa wa comrade Lucas Mwashambwa akieleza uwepo wa amri jeshi...
Dah kosovo basi anafaa pia kuwa msanii kwamba Haika si mkewe tena ?
Kama ni hekima na busara basi amejaaliwa na kama ni uwezo wa kuzihimili hisia nampa salute aisee sikulijua hili .
Ila Haika naye nampa pongezi zangu nyingi kwamba muda wote hawakusema neno mpaka hapo alipoamua kutaotoa kosovo ...
Sasa bora iwe ni habari za kutumia skin care walau weupe wake unasound vizuri .
Ila kuna hawa akina mwaisa wanaotumia cocopulp ,extra carrot ,carribean, cocoderm ,top lemon na perfect white 🙌 ,mtu upande wa jicho moja ni mweupe sana na upande mwingine ni mweusi kama mkaa wa kiwira .
Itoshe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.