Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Tatizo jamaa yetu hajatuambia inabidi body count ya mwanamke isome ngapi ndio awe mwanamke salama wa kuolewa.
Kwa kifupi upate mwanamke ambae kashakinai heka heka za dunia utaenjoy
Mnawasimanga wale wanaokesha kwa manabii kuomba ndoa,ila hao ndo wanafaa.
Ukimpata kama huyo ndoa kaipata kwa kufunga 3 kavu mwaka mzima, lazima ataibembeleza kama yai lisivunjike 🤣
 
Dah kosovo basi anafaa pia kuwa msanii kwamba Haika si mkewe tena ?
Kama ni hekima na busara basi amejaaliwa na kama ni uwezo wa kuzihimili hisia nampa salute aisee sikulijua hili .
Ila Haika naye nampa pongezi zangu nyingi kwamba muda wote hawakusema neno mpaka hapo alipoamua kutaotoa kosovo ?


Nimejifunzq kitu aisee ,mimi kelele za kuachika zilianzia mtaani na sasa zipo internationally ni mwendo wa kumsema yule dada wa watu .
 
Dah kosovo basi anafaa pia kuwa msanii kwamba Haika si mkewe tena ?
Kama ni hekima na busara basi amejaaliwa na kama ni uwezo wa kuzihimili hisia nampa salute aisee sikulijua hili .
Ila Haika naye nampa pongezi zangu nyingi kwamba muda wote hawakusema neno mpaka hapo alipoamua kutaotoa kosovo ?


Nimejifunzq kitu aisee ,mimi kelele za kuachika zilianzia mtaani na sasa zipo internationally ni mwendo wa kumsema yule dada wa watu .
Hawa wana stahili tuzo aise 😄

Ova
 
Hiyo sensa ya Wajane WEngio MASAKI NA MWENGE kulko kwenu hapo Mbagala kibonde maji na kwa mbiku sababu mbona zipo wazi.
MASAKI mtaa mmoja una nyumba kumi , kwenu Kibonde maji ni nyumba moja ya kupanga , yaani ukingia uani kuna wapangaji 15n na choo kimoja cha nje, hivyo mtaa ukiwa na wajane wawili Masaki ni sawa na nyumba moja ya Kwenu madongo poromoka.
Daaah!!😂KUKAKAKE!!!
 
Wewe ndo h

Una hizo information.
Hiyo Mbezi Garden aliianzisha mzee Lawere miaka 90 mwanzoni(92 or 93).
Wakati hata huyo Magesa hajielewi.
Haika kakuta mali akaendeleza.
Ni kweli Mbezi Garden ni ya kitambo sana niliwahi pumzika pale mid 90s, na hapo nimeona wameoana 2001. Nakumbuka nilipokua hapo nilielezwa mmiliki ni mzee wa kichaga, sasa sijui ndio itakua huyo baba yake Haika.
Kingine, naona post nyingi kwa huu uzi kama zimeshatoa maamuzi kua Haika labda ndio mwenye makosa, kiukweli Magessa ni watu wa Majita wale au ukerewe ni watata sana hio kabila uwa kukaa kwenye ndoa kwa mtu ambae sio kabila yake ni kazi kubwa sana.Kwahio hapo ilikua ni sawa na mafuta na maji hayawezi kua pamoja kwenye moto. Wote wajuaji, na tena 20+ years wamevumiliana sana nahisi kwa vile watoto na pesa ilikuepo. Mchaga na mjita wote wajanja teehteehteeh.
 
Suala mtambuka, jiandae kisaikolojia kupata mwanamke kwa wastani wa chini kishatembea na wanaume 5, hakika utakuwa na amani kwenye ndoa, ila ukisha muoa, hakikisha unamlinda tu wale waliomtoa bikra wasirudi maana hawezi kusahau aliyemtoa bikra mpaka anaingia kaburini na aliyemtoa akija hatongozi, mwanamke analegea kama mbwa kwa chatu.

Hapo bora Bikira. Akikuacha Wala huumii kivile
Tena kama umeishi miaka 21 huna ulichopoteza

Kuishi na mwanamke asiye bikira ni kipaji sana yaani hakuna tofauti sana na single mothers
 
Sasa uoe mwanamke ambae ashatumika na minimum approximation ya wanaume watano halafu ufanye kazi ya kumlinda asifuatwe na maex wake, kwanini usioe tu bikira kuondoa huo usumbufu. Maelezo yako yanaonyesha mwanamke used ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuchepuka kwa sababu bado ana kumbukumbu za mambo aliyoyafanya na maex wake

Maoni ya jamaa yanachekesha sana.

Kwa sisi wengine unaoa bikira. Unatumia. Akizingua miaka 10 unaweka pembeni unachukua bikira nyingine. Hivyohivyo.

Mabinti wapo wengi sana miaka 17 chuchu konzi, bikira safi, nyama laini. Alafu uumizwe kijinga kama wajinga.

Kikawaida wanaoumizwa na mapenzi ni wale wanaochukua wanawake body count kubwa
 
Back
Top Bottom