Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

Sasa bora iwe ni habari za kutumia skin care walau weupe wake unasound vizuri .

Ila kuna hawa akina mwaisa wanaotumia cocopulp ,extra carrot ,carribean, cocoderm ,top lemon na perfect white 🙌 ,mtu upande wa jicho moja ni mweupe sana na upande mwingine ni mweusi kama mkaa wa kiwira .

Itoshe kusema mambo hayo yanataka uwe na hela akina dada ,ili utumie walau vitu sahihi sasa haya yenye mikemikali isiyoeleweka daily ni kutusumbua mara nawashwa uso naweza kutumia dawa gani nipone ,mara midomo inababuka yaani purukushani tupu .

Mniwie radhi wazee wa baroon na carina TI pande za mpemba ziharibu biashara zenu bwana .

Cc kindege
 
Tanzania imekua too much, kuna mtangazaji wa UTV anaitwa Ivona Kamuntu nilikuwa namkubali sana na ule weusi wake soft, jana namuona kwenye Tv eti akaanza kuwa mweupe,
Sijui wana shida gani, kuna watu watakupenda jinsi ulivyo acha kuhangaika
Labda ni mataa ya studio
 
Asee Congo ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza au A+...nilienda Kinshasa kikazi for 3 weeks, si me or ke wote ni mwendo wa vipako🤣🤣...halafu most of them hawajabarikiwa ule uzuri kama wadada wa kibongo, wamekomaa sura, vidole , so mkorogo unadunda wana sugu hao sio poa!
 
Achilia mbali hao wanaoji bleach, Mimi binafsi hata Hawa wanaojiwekea filter za rangi zisizo na asilia na wao .Nawaona ni wale wale wajichibuajiji 😆😆
Mwanaume unapiga picha unaweka filter Eti, au unaweka beauty level 5 huko😃,
Mi napiga picha ilivyo ili hata nikikutana na mtu haoni tofauti, sio kwenye picha soft kama bilinganya wakati sio kweli
 
Asee Congo ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza au A+...nilienda Kinshasa kikazi for 3 weeks, si me or ke wote ni mwendo wa vipako🤣🤣...halafu most of them hawajabarikiwa ule uzuri kama wadada wa kibongo, wamekomaa sura, vidole , so mkorogo unadunda wana sugu hao sio poa!
Sura zimeelekea kibra
 
Sijawaona majirani zetu wa Zambia, nao wapo vizuri mno kujichubua

Niliwahi kusafiri nao kwenye shirika moja la ndege, asee wale Wadada hadi wanatisha jinsi ngozi yao ilivyo

Wangejua tunavyohusudu rangi nyeusi, lile joto mkiwa mmejifunika shuka, hata kama ukiwa mzee wa mwaka 47, lazima misuli isimame kufurahia uumbaji
 
Back
Top Bottom