Recent content by meloy

  1. meloy

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa mitihani ya clinical medicine in diploma

    Anayefahamu muongozo wa mitihani ya wizara(NACTE) katika hiyo koz je ipo kwa kila level yaani cmt04,cmt05,cmt06 au ipo vip hiyo Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
  2. meloy

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kwamba Rais Magufuli hawezi na hatoweza

    mtoa mada embu tupe jina lako halisi,maana umetoa kauli ambazo hautakiwi kutoa kwa mkuu wa nchi
  3. meloy

    JamiiForums Tanzania Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

    bado hakuna uhuru wa maamuzi yako.et pombe marufuku,mara kupigwa mawe mbaka kufa,haaaa
  4. meloy

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

    hahahaha we jamaa ni nomaaa
  5. meloy

    JamiiForums Tanzania Uelewe mfumo wa 3-4-3 anaotumia Antonio Conte

    we jamaa ni mshabiki wa chelse tu,hakuna kingine
  6. meloy

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi nzuri kusoma kati ya clinical medicine na medical laboratory kwa kipindi hiki????

    kachukue clinical medicine bro,more opportunity
  7. meloy

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli unasimama na kumpinga Ndalichako?

    sawa kabisa mkuu,ujue watu wengi wanaleta siasa katika mambo ya kweli kabisa kwenye maendeleo.
  8. meloy

    JamiiForums Tanzania King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

    mhhh
  9. meloy

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    mwenyenzi mungu akupe uvumilivu
  10. meloy

    JamiiForums Tanzania Uganda: Watu wachinjwa kinyama na kutelekezwa

    mhhh nikiangalia picha hizo,duh sielewi kabisa kifo changu kitakuwa cha aina gani.nguvu ya mwenyenzi mungu itutawale katika maisha yetu.R.I.P kwa wote waliofariki katika tukio hilo.SIASA,UDANI,UKABILA NDO CHANZO CHA YOTE HAYO
  11. meloy

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Selection za NACTE

    itakuwa mpaka mwakani nadhani
  12. meloy

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs general agriculture

    zote frx tu
  13. meloy

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

    sawa sawa mkuu hao wanataka uchochezi tu
  14. meloy

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

    tuache kuwa na mtazamo hasi,serikali imejitenga namaswala ya dini toka zamani,raisi hawezi akazingatia huyu dini gani katika uteuzi wake,bali yeye ataangalia yupi ni mtendaji bora,mchapakafi,mbunifu ambaye ataleta maendeleo.
Back
Top Bottom