Buyagakibunje
Member
- Nov 17, 2016
- 9
- 4
Samahani wadau nimeapply nursing, kwenye profile yangu inasema napaswa nisubiri next selection... coming soon. Wakati huohuo nacte imetangaza kufunga rasimi udahili. Msaada jamani nifanyeje
[emoji28] [emoji23] [emoji23]itakuwa mpaka mwakani nadhani
Mwakani mwezi wa kwanza au coz hata mie ninatatzo hiloitakuwa mpaka mwakani nadhani
Ph E kis D eng D math E Bio C Che C civ e his e geo eWeka ufaulu wako hapa tuone kama unasifa za kwenda nursing