tusilaumu kuwa wanawake hawazai je umeshajaribu kwenda hospital pia wanaume siku hizi wapo wengi tasa hasa kutokana na msongo wa mawazo, uvutaji wa sigara, pombe, mihadarati, hata laptop tunazotumia hasa tukiziweka kwenye mapaja pia zinaleta matatizo, kuendesha magari hasa safari ndefu kwa muda...