eriqure jr
Member
- Jan 16, 2013
- 10
- 0
Naitwa eriqure ,ni mvulana mtanashati ..nakaa dar ila sahivi nipo morogoro .natafuta msichana mzuri .mwenye vigezo vifwatavyo
- awe ni mkubwa kuliko mimi kimiaka yani shuga mami kwanzia 35 nakuendelea
- awe mweupe au mweusi
- awe chini ya miaka 20 ila sio chini ya miaka 18
- awe ana umbo zuri ,awena makalio makubwa ,ana hips
- awe mwenye elimu yani msomi
- awe anakaa morogoro au pia hata mikoa mingine ila mimi niko moro