Recent content by melanin gal

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bus linalotoka Dar es Salaam kwenda Uganda au njia rahisi ya kutuma mzigo kwenda Uganda

    Habarini wakuu, Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Zabibu kwa mkoa wa Dodoma

    Maeneo gani naweza pata zabibu kwa bei nafuu kwa sasa?? Ni za kula tula tu but zinahitajika nyingi kidogo. Msaada tafadhali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda taabani, anahitaji msaada

    Nimemkumbuka sana leo. May his Good Soul Rest in Peace.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze mbinu hii itabadilisha biashara yako moja kwa moja

    Ni kwamba ili kuuza kwa haraka… jifanye kama ulikuwa unauza bei kubwa, afu uza kwa bei uliyopanga kuuza. Fanya hivyo kwa kuweka bei zote mbili but ile kubwa fanya kama umeikata. Mfano: was 25,000 TZS (afu unakata) now 20,000 TZS.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vipya Jijini Dodoma

    Limenikuta jambo viwanja viwili michese [emoji30] niliuziwa na mzawa lakini.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya internship kwenye NGOs ama Serikalini

    Jaribu kupeleka maombi taesa pia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti ya mbao au kilimo cha mikorosho

    Wenye uzoefu watujuze asee… I heard the same, inaanza kuzaa baada ya miak mitatu then baada ya miaka mingine mitatu uzalishaji unapungua hadi kuacha kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Wamechukua pia eneo la michese na kuwapa wananchi viwanja mbadala ambavyo vipo mbali sana na mjini na viwanja hivyo wanapaswa walipie. Imagine mtu alikuwa na kiwanja chake lakini anahamishwa na kuhitajika kulipia upya tena. Inahuzunisha sana…
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti ya mbao au kilimo cha mikorosho

    Nishawahi sikia the same thing… kwanba inazaa miaka mitatu tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wawe wanaandaliwa kisaikojia kabla ya kukabidhiwa mafao

    Few months kabla ya kustaafu kuna semina huwa wanapewa... for a week or two weeks. Mara nyingi huwa inafanyika Mwalimu nyerere memorial or vyuo vya utumishi wa umma. My dad attended the semina but ni kama haikumsaidia [emoji1787] hela zinavuruga, xinahitaji utulivu mkubwa sana wa akili
  11. M

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Does it mean hostel zimeiaa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule nzuri ya Msingi ya Kikristo

    Kama haujapata.. au unaweza badilisha mawazo consider St. Anne Marie, ipo mbezi ya kimara but wana usafiri na ipo vizuri mnoo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

    [emoji23][emoji23][emoji23] daah... ni kweli lakini. Dogo atakuwa na walakini. Labda kama amesoma shule za day miaka yote. Lakini pia inabidi ajifunze kukaa na watu sio kumuendekeza hivyo
Back
Top Bottom