University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Nisikilize Mkuu, kwa muonekano wa screenshot yako inaonyesha ume request code upya. Hivyo ingia katika email yako utapata hiyo code. Tatzo kama hili lilimtokea mtu fulani na nilimsaidia akafanikiwa
Tatizo kwenye email yangu hawajutuma hadi now
 
Wadau, utaratibu upoje kwa mwanafunzi ambae bado hajajua status yake ya Loan Board hadi siku ya ufunguzi wa chuo? Je kuna utaratibu wowote wa kuruhusiwa kusajiliwa kwa kulipa direct fee only (97400) huku akisubiri hatma yake kutoka bodi ya mkopo?.Maana as per HESLB, status ni yake bado wanafanya analysis ya maombi husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys nimeamua ku create group la first year la UDSM baada ya kuomba sana bila kupewa majibu yoyote. Karibuni tusaidiane mambo mbalimbali kama vile kujaza fomu na mambo mengine.join link ipo chini hapo

 
Samahani, hv kesho unatakiwa ufike saa ngap na maeneo gani kwa ajiri ya orientation na registration?
 
Does it mean hostel zimeiaa?
Adjustments.jpg
 
Does it mean hostel zimeiaa?View attachment 1637825
UDSM hostels ni changamoto, Kipindi kile zipo Mabibo na Main Campus tu, Walikuwa wanapata First year to na Bado baadhi walikosa wakaongeza Magufuli hostels nikajua somehow Litasolves ajabu na Admission Capacity imeongezeka Plus programmes mpya zimeanzisha na baadhi zilizohamia ardhi na wao wakaanza mfano Architecture!!

Hapo utakuwa umekosa kiufupi wahi kureport fika kwa USAB Manager pale Hall 5 Sijui bado Ofisi iko pale mpige maneno haswaaa ikiwezekana sema hata wewe mgonjwa anaweza kuconsider Hilo ikishindikana tafuta First year mwenzako omba akubebe sema wewe ni manzi sijui na nyie waga mnabebana!! Otherwise utapanga mtaani!!!
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom