1.Tukumbuke
Miaka ya kwanza baada ya uhuru wa Tanganyika chini ya uongozi wa Julius Nyerere yalikuwa na changamoto na mafanikio katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hapa ni muhtasari wa kipindi hicho:
Uwajibikaji na Utawala Bora:
Nyerere alijitahidi kuweka misingi ya uwajibikaji...
Mkuu samahani hiki kisa ni kile cha miaka ya 2008 kurudi nyumba, mbezi beach, alipigwa risasi mbele ya familia yake na watoto walikuepo, au nakosea ndugu Mshana
Amekwambia "Mungu au waganga" utachagua wewe.
Kuna mtu huko anakuombea bila wewe kujua ndugu yangu, huendi kanisani au msikitini wala huendi kwa waganga ila kuna mtu anakuweka kwenye maombi...Mambo ya kiroho yanatupa Discipline ndugu yangu, ukubali au ukatae.
Umeandika vyema sana, ila naomba kuuliza, unawaongeleaje watu kama kina Zitto kabwe ambao wako nje ya chama, Je wako ndani ya chama tawala ila wanaficha ficha ama ni nini?! Zitto kabwe ni mtu imara tu kwa maoni yangu, au kuna sehemu nachanganya sielewi?!
Shida sidhani kama ni soko, ila gharama za usafirishaji, namna ya kupata masoko hivyo vyote vinahitaji muda na pesa, jambo ambalo wakulima wengi hawawezi fanya.
Sijajua makadirio ya ujenzi ila ushauri wangu mdogo tu wenye manufaa makubwa, nenda kanunue vifaa mwenyewe usimtume fundi kama utaweza.
Mbao ya elf 6, atakwambia elf 9 au 10.
Makinika, utanishukuru baadae.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wakaze buti, naona wamekubali walishikwa pabaya.
Mwananchi ambae haijui SIASA bora asiijue na asiifatilie kabisa maana ni mchezo wa ajabu sana, huwezi kuelewa wala kuamini kama vyama pinzani wanatupigania sisi wananchi au maslahi yao. Tuishi tu hivyo hivyo maana hakuna namna tena.
Sent from my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.