Nipokeeni binti mrembo

Huo urembo unao jitangaza hapa bila kuweka picha unatutakia nini? .... na wasi wasi kuna mtu atapigwa na kitu kizito ....
 
Utakuta huyu anaejiita "binti mrembo" ni kijeba chenye ndevu kabisa. Sasa jichanganye!
Mmeshaanza kauzibe madomo zege nyie!!! vidume wa ukweli hawazibiwi mnajisumbua tu !! wataingia tu ivoivo mazima mazima, hata kma wakikuta kuna midevu wanarudisha majeshi faster!!..shida iko wapi?

kwani nyie waomabaji gani mnaogopa kupotea!.......na kuanza moja???...nyie ndo mnaliaga nyie! na kujiua...kidume halisis ni Lazima upoteze sana na upate mauzoefu ya kila aina sasa bila hii kidume kitapataje uzoefu??
 
Back
Top Bottom