Boss Man
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 458
- 995
Ukiwa unaongea au unaandika popote au hata hapa JamiiForums usilenge uelewa wa watu, jikite katika uelewa wa kwako. It doesn't matter watu wanakuelewaje, All that matter ni kwamba wewe unajielewaje
Watu hawaelewi namna moja. Tatizo tunalofanya tunataka 'response' kutoka kwa watu tunaozungumza nao ije kwa uelewa wetu, kwa mfano mtu asipokuelewa haitakiwi kuleta ugomvi kwani sio lazima mtu akuelewe
Kama Kila member atafuatisha hii kanuni basi JF utakuwa mtandao Bora zaidi kuliko hata ulivyo hivi Sasa.
NB: Hata Mimi haya niliyoandika sio lazima unielewe, nimeandika kwa uelewa wangu, so hakuna vita katika hili, vita itaanza kama nitakulazimisha unielewe