Recent content by Mejasoko

  1. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndio maana nkawa nauliza je score below average na databank expired status nazo zinasomaje sasa au nazo zimebadilika kua selected for oral pia? I meant sa hivi status zote zinasomeka selected for oral despite the category?
  2. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi wakati taarifa za status kubadilika sikuwa active nimekuja kuona naangalia nakuta bado ni selected for oral ndio nikauliza watu wakasema ilibadilika kwa siku mbili kwao then ikachange sasa hizo siku mimi sikuwahi India kwa account yangu
  3. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    25th November 2025
  4. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ok, so selected for oral wajipe matumaini sio (japo haijaandikwa pass and stored in databank)
  5. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Je na ambao hawajapass na data base imeixipire zimekuaje? Au zimerufi hivyo hivyo selected for oral?
  6. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi nina oral ya tutorial Assistant mwaka Jana November cha ajabu haina update yoyote au sahili za vyuo hizo status za databank hazihusiki?
  7. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Eti Mapenzi yanauma? Hivi mnajuaa maumivu ya NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW AJIRA PORTAL nyie?

    Pole sana inaumiza mkuu, ila kubali tu yaishe usonge mbele kwa fursa nyingine
  8. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Eti Mapenzi yanauma? Hivi mnajuaa maumivu ya NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW AJIRA PORTAL nyie?

    Mkuu inaumiza sana hasa unapokosa maksi 1 tu very painful
  9. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ni kweli Kikwete amesema watoto wake hawatapata hata shilingi moja kutoka kwenye utajiri wake wa fedha taslimu?

    kwa vyanzo gani vya mapato na biashara gani kubwa, Anglia article iliyoandikwa na citzen
  10. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hivi kwa nini kada za vyuo (Tutorial assistant na lectures hawatoi pdf za majina ya walioitwa kama kada nyingine wao watu wanaitwa kimya kimya tu
  11. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wadau hivi Kuna mtu humu alifanya oral interview ya tutorial assistant au assistant lecture chuo cha ushirika Mocu
  12. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Habari gani
  13. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa na mfumo kwa wahitimu wa Digrii ya Microfinance & Enterprises Development

    Mkuu umeongea vyema mimi mwenyewe inanisumbua sana hii Kuna kazi zinatoka za Entrepreneurship na hatuitwi pia, TRA hatuitwi na tumesoma Taxation Management na Account course kibao, BOT bank officers walitutosa na tulisoma Bank Operations 1&2 account for bankers na courses kibao za finance, ukija...
  14. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

    Kila mwisho wa mwezi
  15. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera mkuu ukawe Mtumishi Mtumishi mwema, kila la kheri usisahau kutuombea tu.
Back
Top Bottom