Hayo unaweza kunywa dawaa au ukaenda hospital kwa matibabuu ila maumivu ya NOT SELECTED hayana tiba yanakumaliza kimya kimyaUnayajua maumivu ya tumbo la kuhara mkuu?
Maumivu yote hayo unaweza kwenda hospital ukatibiwaa lakini maumivu ya NOT SELECTED hayana tibaNiliwahi kusumbuliwa na maumivu ya jino nikajidanganya jino linamaumivu makali kuliko macho, siku niliposumbuliwa na macho nikasema afadhali ya jino.
Yote Tisa, kumi ni niliposumbuliwa na maumivu ya sikio.....aseeee sikio linauma acheni baaana!!. Unaskilizia maumivu ya sikio hadi unapoteza muelekeo na balance ya mwili.
Binadamu tumeumbiwa kusahau
Babu yako nilikuwa naumia miaka hiyo ya giza, sasa hivi wala!nshavuka kuumia awe mke wala nyegere mke labda mbamizwa ndege cc secretarybird
sina babu mla nyeto mimiBabu yako nilikuwa naumia miaka hiyo ya giza, sasa hivi wala!
🤔sina babu mla nyeto mimi
Hauko peke yako, nmefanya interview 2 za BOT last weekend nilikua Mbeya na zote zimesoma "Not selected for oral interview" kudadek hapa niko nalewa siku ya 7 ya wiki nipo Bar na lewa nikiwa na andika hii c
Mkuu inaumiza sana hasa unapokosa maksi 1 tu very painfulKiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo zangu lodge nakutana na NOT SELECTED zote moja nimepata 49 na wamechukua hadi 50 na hapo nimetokea SONGEA hadi Dodoma.
Maumivu niliyoyasikiaa sijawahii kuyasikia tangia nizaliwee ila namshukuru Mungu hatimaye nilikuja kupata kazi kupitia ajira portal lakini yale maumivu sitokuja kuyasahau
Pole sana inaumiza mkuu, ila kubali tu yaishe usonge mbele kwa fursa nyingineHauko peke yako, nmefanya interview 2 za BOT last weekend nilikua Mbeya na zote zimesoma "Not selected for oral interview" kudadek hapa niko nalewa siku ya 7 ya wiki nipo Bar na lewa nikiwa na andika hii comment.
Pole sanaKiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo zangu lodge nakutana na NOT SELECTED zote moja nimepata 49 na wamechukua hadi 50 na hapo nimetokea SONGEA hadi Dodoma.
Maumivu niliyoyasikiaa sijawahii kuyasikia tangia nizaliwee ila namshukuru Mungu hatimaye nilikuja kupata kazi kupitia ajira portal lakini yale maumivu sitokuja kuyasahau
Sikio 🙌🙌Niliwahi kusumbuliwa na maumivu ya jino nikajidanganya jino linamaumivu makali kuliko macho, siku niliposumbuliwa na macho nikasema afadhali ya jino.
Yote Tisa, kumi ni niliposumbuliwa na maumivu ya sikio.....aseeee sikio linauma acheni baaana!!. Unaskilizia maumivu ya sikio hadi unapoteza muelekeo na balance ya mwili.
Binadamu tumeumbiwa kusahau
Ebwana sijambo mkuu sema nini mkuu unajua yule manzi ambae condom ilimpasukia ana mimba sasa hivi sasa sijajua hio mimba ni yake au ni yangududuke hujambo verbose?
Noma na nusuNakumbuka NILIPATA supp ya 39 somo moja, na huyo lecture ukisupp hiyo ni carry automatic 😂😂
Ilibidi ni appeal bachelor yenyewe miaka minne na Mimi nilipost pone.. shule ilinichosha kbs
Mkuu umewahi kubanwa na zipu kwenye ngozi ya pumbu? Yaan ile unafunga tu zipu ikapita na ngozi ya pumbu ikabanwa hapo kurudisha chini huwezi kurudisha juu huwezi umenasa hapo umewahi?Maumivu niliyoyasikiaa sijawahii kuyasikia tangia nizaliwee
Maumivu ya muda mfupi, ila omba sikio lisikuume utakuja hapa kuongezea nyama kwenye comment yangu😀😀Mkuu umewahi kubanwa na zipu kwenye ngozi ya pumbu? Yaan ile unafunga tu zipu ikapita na ngozi ya pumbu ikabanwa hapo kurudisha chini huwezi kurudisha juu huwezi umenasa hapo umewahi?
Limewahi kuniuma na ikapita hivyo bila shida wala halitishi ndio imekuuliza maumivu ya kubanwa na zipu kwenye pumbu hayavumiliki unahisi km unapaa angani unahisi km umekaa kumbe umesimamaMaumivu ya muda mfupi, ila omba sikio lisikuume utakuja hapa kuongezea nyama kwenye comment yangu😀😀
Sikio ni habari nyingine, unatamani kichwa wakikate kitupweSikio 🙌🙌
Jino nimeumwa
Jicho pia, ila sikio 😄😄😄😂 litengwe, kumbuka linauma ndani huwezi hata kugusa oyaa
Jitahid ulee kojo lako bossEbwana sijambo mkuu sema nini mkuu unajua yule manzi ambae condom ilimpasukia ana mimba sasa hivi sasa sijajua hio mimba ni yake au ni yangu
hivi wale madadapoa huwa wanapata maumivu wakikosa wanaumeAu maumivu ya kukosa wateja