The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,432
- 14,745
Sisi wa darasa la saba kuna kazi huko tunaweza omba?
Nyie anzisheni makampuni Mtuajiri 😁
Sisi wa darasa la saba kuna kazi huko tunaweza omba?
Hahaha hatarNyie anzisheni makampuni Mtuajiri 😁
Bora huyo, huyu wa placement yangu trh 23.Admin wa CALL FOR INTERVIEW naona bado yupo vocation.
Usipende kusoma na kuyachukua mambo yanayoandikwa hapa naona una moyo Mdogo watakukatisha tamaa na itakusababishia hata presha, Kuna watu hupenda kuona wengine wakiwa katika Hali kama yako, wapo wengi hapa, ni mental disorder ama Wana sababu zao na nyingi ni sababu ya kufeli maisha ama roho ya kwanini. Kuna jamaa yangu kaitwa kazini, usaili wa oral ambao ulifanyika miezi karibia minane, huo si mwaka, ? Wewe nakushauri tulia kazi ukija system imekubali kuapply, apply, then Kaa kimya endelea na mengine huku ukifatilia kwenye akaunti yako. ...Yani we cheza na maombi kulingana na Imani yako, na akaunti yako tu ya ajira portal, achana na porojo zingine zitakupa tu stress.Dahh inasikitisha unakaa mwaka mzima kusubiri kuitwa afu hola!🥺
Mkuu nina swali samahan.Usipende kusoma na kuyachukua mambo yanayoandikwa hapa naona una moyo Mdogo watakukatisha tamaa na itakusababishia hata presha, Kuna watu hupenda kuona wengine wakiwa katika Hali kama yako, wapo wengi hapa, ni mental disorder ama Wana sababu zao na nyingi ni sababu ya kufeli maisha ama roho ya kwanini. Kuna jamaa yangu kaitwa kazini, usaili wa oral ambao ulifanyika miezi karibia minane, huo si mwaka, ? Wewe nakushauri tulia kazi ukija system imekubali kuapply, apply, then Kaa kimya endelea na mengine huku ukifatilia kwenye akaunti yako. ...Yani we cheza na maombi kulingana na Imani yako, na akaunti yako tu ya ajira portal, achana na porojo zingine zitakupa tu stress.
Haijalishi mahakama ya aina Gani,, iwe tu ni mahakama iliyo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...muhuri wake ukionekana pale basi. Pia kama huitwi hua wanatoa sababu kwamba kwanini hujaitwa..Mkuu nina swali samahan.
Hiv kwenye swala la muhuri wa ADVOCATE /MAGISTRATE
Swali langu vip kama muhuri ni wa mahakama ya kati? Hii imekaaje?
Maana sijawahi kuitwa usaili kabisa kulingana na kuna kipindi niligive up ila this time nimejaribu bahati nasubiri kama nitakuwa shortlisted
SHukran mkuu nimekuelewaHaijalishi mahakama ya aina Gani,, iwe tu ni mahakama iliyo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...muhuri wake ukionekana pale basi. Pia kama huitwi hua wanatoa sababu kwamba kwanini hujaitwa..
Hapa tu nshapata heart break ya kutosha! Asante sana kwa ushauri! Watu wana traumatize wenzao sana humu! Especially akishajipata tu..Usipende kusoma na kuyachukua mambo yanayoandikwa hapa naona una moyo Mdogo watakukatisha tamaa na itakusababishia hata presha, Kuna watu hupenda kuona wengine wakiwa katika Hali kama yako, wapo wengi hapa, ni mental disorder ama Wana sababu zao na nyingi ni sababu ya kufeli maisha ama roho ya kwanini. Kuna jamaa yangu kaitwa kazini, usaili wa oral ambao ulifanyika miezi karibia minane, huo si mwaka, ? Wewe nakushauri tulia kazi ukija system imekubali kuapply, apply, then Kaa kimya endelea na mengine huku ukifatilia kwenye akaunti yako. ...Yani we cheza na maombi kulingana na Imani yako, na akaunti yako tu ya ajira portal, achana na porojo zingine zitakupa tu stress.
Just be positive no matter what.Hapa tu nshapata heart break ya kutosha! Asante sana kwa ushauri! Watu wana traumatize wenzao sana humu! Especially akishajipata tu..
Hii ndio Tanzania na asilimia kubwa ya watu wake wako hivyo..haswa vijana...kwaio my dear Kaa rada...puuzia ! Jamaa yangu haamini Hadi saivi, anamshkuru Mungu tu ni analia kama mtoto. So take heart.Hapa tu nshapata heart break ya kutosha! Asante sana kwa ushauri! Watu wana traumatize wenzao sana humu! Especially akishajipata tu..
Dahh sawa ngoja tuwe wavumilivu tuHii ndio Tanzania na asilimia kubwa ya watu wake wako hivyo..haswa vijana...kwaio my dear Kaa rada...puuzia ! Jamaa yangu haamini Hadi saivi, anamshkuru Mungu tu ni analia kama mtoto. So take heart.
Mbona naona ushaitwa wewe dear? Vumilia kidogo tu mwaka huu huu tu....Dahh sawa ngoja tuwe wavumilivu tu
Aimeeen! Na iwe hivyo😊Mbona naona ushaitwa wewe dear? Vumilia kidogo tu mwaka huu huu tu....
Hii ilikuwa ngumu kiasi gani jamani🙆🏽♀️ Lazima wata-repost upya..
Tangu uzaliwe unapimwa na kupimwa kwa mitihani! Watakuamini tu ukipata marks zao, kwanini wasichukue hao walio top ata kama hawajafika pass mark yaoHawa nao wanazingua sana ,, hata mkitoa nafasi nyingine si watakuja hao hao ..
Kwa kweli huku ni kupotezeana muda