Kusamehe sio issue ila Aeleze kwanza laki 9 alikopa ya nn na alifanyia nn ? Usikute alikuwa anahonga Serengeti boys. Maana Nina mashaka kama kweli alikopa kwa mambo ya msingi lazma angekushirikisha. Lakini kwa kuwa alifanya siri basi kuna uwezekano mkubwa sana hizo pesa alifanyia mambo ya siri...
Unajua siku zote asiye haki hukimbia hata asipofuatiwa na mtu
Ww tatizo lako nn ? Mbona unakuwa na imani za ovyo ovyo? Au unamtafutia mkeo sababu? Mwache ainuse hata Mara elfu hata akitaka aivae kichwani kabisa. Nothing will happen to u.
Ukishaona mwanadamu anafikia hatua ya kumkosoa Mungu (neno la Mungu) basi ujue kuna shida inakwenda kumkabili. Nakushauri timiza wajibu wako kuyatenda yaliyo wajibu wako kama mwanadamu. Ukitaka kuyajua mafumbo ya Mungu basi omba kwa Mungu naye atakufunulia kama kweli nia yako ni njema.
Ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.