Hivi mchina ndie alipiga push up na kusema Tanzania yangu niya viwanda....aaah kweli sio kila ubongo umebeba akiliUmesikia Habari ya leo? Mchina amekuja kuwekeza viwanda 200, kwenye ardhi ya TZ yetu sijui utalalaje leo kwa maana hiyo chuki iliyokujaa sipati picha!
Aah kwa hapa mie napinga buaana.Kwani vijana wanapenda CCM!!mie nijuavyo CCM ni ya wazee na wazee ndiyo CCM sasa hapa umenipindua kaaaabisa.Jamaa hawa wana chuki binafsi dhidi raisi wetu mpaka zinawageukia, yaani kila wakija na chuki zao Mungu ndo anatuzidishia Baraka tena kwa fujo, hivi majuzi tena waliendeleza chuki zao dhidi ya Magufuli wetu na propaganda zao kibao mara sijui Baa la njaa, mara sijui watu wetu wanakufa njaa, haya sasa siku chache baadaye Mungu kawageukia Mvua zinanyesha kwa fujo nchi nzima ni green tupu, ...
Baada ya Raisi wetu kutembelea Kagera walifikiri Watanzania watamchukia kwa hilo wakaanza propaganda zao na chuki, Raisi Magufuli ndo kwanza anakubalika na kupendwa kuliko!
Chadema, Zito &Co. alikutangulia kakutangualia tu, na hapa Pombe Magufuli (PhD) ndiyo Raisi wa JMTZ, chuki dhidi yake zitawarudia tu wenyewe!
chadema, Zito wakiona hii picha wanaweza hata kufa leo kwa chuki!
![]()
Jamaa hawa wana chuki binafsi dhidi raisi wetu mpaka zinawageukia, yaani kila wakija na chuki zao Mungu ndo anatuzidishia Baraka tena kwa fujo, hivi majuzi tena waliendeleza chuki zao dhidi ya Magufuli wetu na propaganda zao kibao mara sijui Baa la njaa, mara sijui watu wetu wanakufa njaa, haya sasa siku chache baadaye Mungu kawageukia Mvua zinanyesha kwa fujo nchi nzima ni green tupu, ...
Baada ya Raisi wetu kutembelea Kagera walifikiri Watanzania watamchukia kwa hilo wakaanza propaganda zao na chuki, Raisi Magufuli ndo kwanza anakubalika na kupendwa kuliko!
Chadema, Zito &Co. alikutangulia kakutangualia tu, na hapa Pombe Magufuli (PhD) ndiyo Raisi wa JMTZ, chuki dhidi yake zitawarudia tu wenyewe!
chadema, Zito wakiona hii picha wanaweza hata kufa leo kwa chuki!
![]()
I could have not put it better!
It's about time you acknowledge your talent. Bravo mkuu.“Never Underestimate The Power Of Stupid People In Large Groups.”
Vijana wanywa viloba na wavuta bange ni wanachama wa cdm.Aah kwa hapa mie napinga buaana.Kwani vijana wanapenda CCM!!mie nijuavyo CCM ni ya wazee na wazee ndiyo CCM sasa hapa umenipindua kaaaabisa.