Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,036
- 110,551
Samahani mkuu....Wanaume wa Dar mnalilia? mbona ninyi. Ni wasaliti wakubwa na tunawavumilia? acheni utoto. Umekaa ukamuonya?
Hivi unaanzaje kumkanya mtu ambae tayari umethibitisha kwamba anakusaliti...[emoji15] [emoji15]
Au ndio unamwambia kwamba... love, kwakua nimesha gundua kwamba hua una tafunwa, basi nimekusamehe lakini usiendelee na tabia hiyo ya kutafunwa..[emoji45] [emoji45]