Recent content by Megawatt B

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndele Mwanselela, anayejiita mdau wa elimu Mbeya ni nani na kwanini udau wake umekuja sasa?

    Siyo mmiliki, ni mkurugenzi. Anasimamia shule kama 3 hii. Dar 2 na Morogoro 1
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndele Mwanselela, anayejiita mdau wa elimu Mbeya ni nani na kwanini udau wake umekuja sasa?

    Mkurugenzi wa shule ya sekondari Patrick Mission iliyopo Mivumoni, karibu na Madale wilaya ya Kinondoni Dar es salaam
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, hii mvua Dar usiku wa leo mliiona?

    Kesho ndo kubwa zaidi kati ya saa 2-3 asubuhi
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba inacheza mpira wa hovyo mpaka aibu.

    Kweli kabisa
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usajili wa simba wa Billion 1.5 ni kwaajili ya kuzifunga timu ndogo tu au

    Hata Man U na Real Madrid Leo zimetoka sare Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    Kuna mji unaitwa Kilimanjaro?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    Mtoa hoja anazungumzia upangaji wa mji na sio aina ya udongo ndugu[emoji15]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    Nachingwea
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kukopi video toka kwenye VHS kwenda kwenye CD

    Mkwawa, sina deki, natafuta MTU ambaye anafanya Nazi hiyo kwa malipo na anavifaa
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kukopi video toka kwenye VHS kwenda kwenye CD

    Kwa hapa Dar es Salaam, nahitaji mtaalam wa kukopi video kutoka kwenye mikanda [VHS] kwenda kwenye CD
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VHS kwenda CD

    Naomba Msaada wapi naweza nikahamisha video kutoka kwenye mikanda ya VHS kwenda kwenye CD hapa Dar es Salaam
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha midundo ya kale Azam Tv ni fake

    Kipindi hiki kinarushwa kila Jumamosi kuanzia SAA 1 usiku. Kinapiga miziki ya kizamani (playback) wakati huo huo bendi ya utalii inaigiza wimbo huo. Kwangu naona no aibu bendi nzima imeahika vifaa vya mziki wanaigiza kama wanapiga kumbe ni CD inapigwa. Hivi kweli Utalii Band hamuwezi kupiga...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Gazeti Raia Mwema

    Raia mwema si gazeti la kila siku
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa korogwe magunga (kwamm'mbo)

    Bei inamwezesha mnunuzi kujipima. Unabiashara za kizamani
Back
Top Bottom