Kiwanja kinauzwa korogwe magunga (kwamm'mbo)

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,781
6,139
habari, ninauza kiwanja kipo korogwe mtaa wa kwam'mbo karibu sana na magunga hospitali .kina msingi wa mawe wa vyumba vinne na michungwa kadhaa ,kina ukubwa wa robo heka bei ni nafuu sana. aliye tayari ani pm 0688 990 975
 
Last edited:
Dah we jamaa nani anakufukuza kwani. Kiwanja kipo wapi arusha. Makondeko au kijijini sitimbi
 
Pia morogoro kipo ekari 10 maeneo ya mkambarani kwa mawasiliano piga 0713449460
 
Sorry mkuu kuna nyumba hapo ina master bedroom 3 ndo iliyozungukwa na hilo shamba ekari 10 bei yake vyote kwa pamoja ni 190,000,000/=kwa mawasiliano piga 0713449460
 
Weka bei wewe wa Korogwe usitupotezee muda kukupigia
kama kupiga simu ni kupoteza muda je nikikuambia twende ukaone kiwanja utakwenda? au nikiweka bei hapa utalipa humu jf bila kuonana na mimi? kwanini hupendi kujiongeza hata mm 000.1 tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom