Kipindi cha midundo ya kale Azam Tv ni fake

Kipindi cha midundo ya kale Azam Tv ni fake

Megawatt B

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
259
Reaction score
69
Kipindi hiki kinarushwa kila Jumamosi kuanzia SAA 1 usiku. Kinapiga miziki ya kizamani (playback) wakati huo huo bendi ya utalii inaigiza wimbo huo. Kwangu naona no aibu bendi nzima imeahika vifaa vya mziki wanaigiza kama wanapiga kumbe ni CD inapigwa. Hivi kweli Utalii Band hamuwezi kupiga kopy tukawaona mnapiga wimbo husika live?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom