Mwenendo wa Gazeti Raia Mwema

Mwenendo wa Gazeti Raia Mwema

Hilo ni weekly newspaper, suala la u - Meya limetokea jana wakati gaeti limeingia mitaani leo asubuhi na possibly hilo gazeti lilikuwa limeshachapishwa maana gazeti
 
Kwa maoni yangu hili gazeti limeshapoteza mwelekeo. Tangu kipindi cha uchaguzi walionesha msimamo wao wa kiitikadi na kuiponda sana UKAWA. Msimamo huo wameendelea nao hata baada ya uchaguzi. Leo magazeti mengi yameripoti juu ya uchaguzi wa Umeya Dar (ukurasa wa mbele) isipokua gazeti hili la Jenerali Ulimwengu.

Magazeti mengi yameifanya habari ya Umeya wa Dar kuwa Lead Story, Anchor story or Strap story ktk ukurasa wao wa mbele. Kwa kifupi yameifanya issue ya Umeya kuwa habari ya kuuzia gazeti. Lakini Raia Mwema ni kama vile hawaishi Dar wala hawajui kinachoendelea.

Hivi habari kubwa kama hii ya Umeya unaachaje kuiripoti? Hasa ukizingatia ilikua na sintofahamu ya muda mrefu? Kumbuka uchaguzi wa Umeya Dar umefanyika mara 4 bila mafanikio mara ya 5 ndipo umefanikiwa. Je hii si habari?

Yani Raia Mwema wamempa coverage "Babu wa Loliondo" wakaacha kuzungumzia Umeya wa Dar?? Maajabu haya. Yani Babu wa Loliondo ana "make news" kuliko Issue ya Umeya Dar?

Nimegundua media zetu za kibongo bado zina safari ndefu sana. Zinaripoti kwa mahaba ya itikadi na si kwa weledi. Naamini CCM ingeshinda Umeya jana Raia Mwema wangeifanya hiyo habari kuwa habari kuu kwny ukurasa wa mbele.

Ni jambo la ajabu kwamba hata Habari Leo gazeti la serikali limeizidi Raia Mwema. Habari Leo angalau wameripoti kwnny ukurasa wa Mbele wakiandika "Dar mikononi mwa Chadema". Lakini Raia Mwema kimya kama vile Umeya hauwahusu. Kwa lugha rahisi ni kwamba Raia Mwema wameumia sana UKAWA kushinda Umeya wa Dar kuliko serikali ya CCM ilivyoumia.

Mahaba yanapozidi weledi ni tatizo kubwa ktk ulimwengu wa habari. Wenzetu Ulaya wanajua kuripoti kwa weledi. Linapokuja suala lenye maslahi kwa umma wote hulipa uzito bila kujali itikadi zao. Nimefatilia media za magharibi zote ziko busy na BRUSSELS Attack. Watu wanafanya live coverage, story analysis, wanafanya interview kuhusu hiyo attack.. yani wenzetu wanajua kutengeneza news na kuset agenda.

Lakini hapa bongo mahaba kwanza weledi badae. Angalia matukio ya hapa Nyumbani uone kipaumbele kiko wapi. Nakumbuka wakati Mv.Spice Islanders inazama Startv walikua wanaendelea na wallpaper yao, TBC wanagonga Bongo Flavour.. Who cares.?? Bado tuna safari ndefu sana.!

Malisa GJ.!

Kumbuka kwamba gazeti la Raia Mwema linatoka mara moja kwa wiki - Jm5 na inawezekana wakati uchaguzi unafanhyika gazeti lilikuwa linazalishwa mitamboni. Si kweli kwamba Raia Mwema wanaponda UKAWA. Kama umekuwa msomaji wa gazeti hili utagundua kwamba kuna watu ambao wa makala zao kila ambao walionekana kuwa na msimamo wa kumpinga EL kuwa mgombea wa UKAWA japo kabla ya tukio hili walikuwa wanaonekana kuunga mkono UKAWA. Hapa nawazungumzia akina Johnson Mbwambo, akina Lula wa Ndali Mwananzela na wengineo. Lakini wakati huo huo Jenerali Ulimwengu ambaye ndiye mmiliki wa gazeti hili alikuwa na msimamo tofauti. Huyu katika makala zake aliunga mkono UKAWA kwa wazi na alieleza sababu zake. Kwa hiyo si sahihi kusema kwamba gazeti la Raia Mwema lina mwelekeo unaotia shaka.
 
Raia mwema ni weekly paper....mostly itakuwa na analysis ya issues. Hao rai mwema wana gazeti liitwalo Raia Tanzania...humo kuna daily news km hiyo ya meya....

Besides....habari ya meya was anticipated, kipya ni kipi hapo au unaleta mahaba niue???
 
Sasa sijui nikuiteje mkuu wangu...

Ni wapi nimetetea ujinga (ama wewe ni mjinga?)..

Kumwambia mtu kuna tofauti kati ya magazeti ya kila wiki na ya kila siku ni kutetea ujinga?...Angalia usije ukaonekana wewe ni mjinga kabla haujamtuhumu mtu anatetea ujinga..

Gazeti la Raia mwema linatoka kwa wiki mara moja..Na habari zake nyingi ni za 'Makala'..Uchaguzi wa Meya wa Jiji umefanyika jana..Gazeti limeanza kusambazwa jana jioni kwenda mikoani...Meaning lilikuwa tayari hata kabla huo uchaguzi haujafanyika...Hiyo habari imeandikwa na magazeti mengi tu yanayotoka kila siku..

Halafu, sijui unatumia vigezo vipi kumbrand mtu kama 'wa Lumumba'....Ni kwa sababu anatofautiana na kile unachotamani akiandike/akipost?

Vigezo vya mtu wa Lumumba? Acha utani Bala. Posts zako ndiyo zinaonyesha mwelekeo wa ushabiki wa ki-ccm.
Kuhusu Raia Mwema, huna point. Unaongea pumba tu. Mimi ni msomaji wa hili gazeti toka limeanzishwa hadi mwishoni mwa mwaka jana. Kwa kawaida ukurasa wa mbele kuna kuwa na habari; na sio makala. Tena ni habari kubwa zinazopatikana pia katika magazeti ya kila siku. Hili suala la umeya wa Dar sio habari ndogo. Na pia sio suala ambalo lilikuwa halijulikani. Mimi nilichotegemea ni wao kuripoti outcome ya uchaguzi ulioahirishwa mara tatu kabla.

No wonder waandishi 'mahiri' waliobaki hapo Raia Mwema ni dizaini ya akina Mwanakijiji.
 
Sasa hapo sijui nimeongea pumba ipi...

Kwamba ulitaka waandike outcome ya uchaguzi uliofanyika jana wakati lile ni weekely paper!...

Nimekwambia circulation ya gazeti imeanza jana na uchaguzi umefanyika jana...Hilo la wao kuandika habari za kuahirishwauchaguzi mara tatu kabla sina uhakika nalo...

Mtoa post amezungumzia magazeti mengine kuandika habari za matokeo ya uchaguzi wa jana na kwamba ni Raia Mwema pekee halijaandika..Ndio nikamwambia kuna tofauti kubwa (kwenye content) kati ya Gazeti linalotoka kwa wiki na lile la kila siku...

Na hakuna sehemu nimekubezza ama kukupinga kama haulijui Raia Mwema, ama hausomi Raia Mwema...Nakupongeza kwa kuwa msomaji wa Raia Mwema tangu linaanzishwa...

Hilo la kunibrand mtu wa Lumumba kwa post zangu kuwa na muelekeo wa ushabiki wa ki CCM ni mtazamo wako, nauheshimu...Nashukuru kuona unafuatilia sana post zangu kiasi cha kuona zzina muelekeo wa ki CCM....Hiyo ni complement kwangu...

Wakatabahu.

Bala.
 
Malisa G,na wewe ni jipu,huwezi kukipangia chombo cha habari,kiripoti habari gani.
Na sio kila habari ni habari kwa wengine,so acha media zijiendesha kadri zionavyo isipo kuwa tu visivunje sheria za nchi.
 
Ile ilikua ni habari pia usiwe unaongea kama baado upo Mombasa

#chamachamashoga#
 
Habari Leo wanajikosha tu baada ya kupondwa hapa JF.

Kuhusu Rai Mwema nadhani tatizo ni kuwa hilo si gazeti la kutoka kila siku hivyo huenda lilishaandaliwa kutoka kama lilivyotoka.Yaani haliripoti habari za kila siku
Kumbe kuna wakati huwa unaongea point.
 
Habari Leo wanajikosha tu baada ya kupondwa hapa JF.

Kuhusu Rai Mwema nadhani tatizo ni kuwa hilo si gazeti la kutoka kila siku hivyo huenda lilishaandaliwa kutoka kama lilivyotoka.Yaani haliripoti habari za kila siku
Ndugu, nami nna fikra hiyo hiyo. Lilikuwa limesha "toka" wakati habari hii inatokea...
 
Back
Top Bottom