Aisee hizi ajira mbona ni kisanga wakati wengine kozi hizo hizo hata usaili bado hawajafanya tayari kuna zingine mpya na deadline 29 October mbona sintofahamu🤔
Kwa Tanzania hii iliyojaa mijitu mijuha tutachelewa sana wajanja wachache ndo hao wanaitafuna nchi. Ingekuwa ni nchi ya watu wenye akili wasingekubali kusombwa na malori kwende kuwapigia nderemo mbogamboga. Tuna kazi kubwa sana
Poor Tanganyika..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.