Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,272
- 8,352
Wewe ni jobless ungekua sio jobless usingekua hapa unakimbizana kufanya interview...hutokaa upate kazi.Kwa akili yako hapa Mm n jobless?
Wewe ni jobless ungekua sio jobless usingekua hapa unakimbizana kufanya interview...hutokaa upate kazi.Kwa akili yako hapa Mm n jobless?
Sawa.Wewe ni jobless ungekua sio jobless usingekua hapa unakimbizana kufanya interview...hutokaa upate kazi.
Labla waliofanya oral na kufaulu tyr wameshajulikana hvy hao wngn n wa kwenda kujaziaKuna waliofanya usaili tarehe 10 October 2025 lakini Leo Tena Kada hiyo hiyo limetoka tangazo la kaza ikiwa hata Bado hawajapangiwa vituo vya kazi waliofanya usaili.
Hii ina maana gani wataalamu?
Kuna waliofanya usaili tarehe 10 October 2025 lakini Leo Tena Kada hiyo hiyo limetoka tangazo la kaza ikiwa hata Bado hawajapangiwa vituo vya kazi waliofanya usaili.
Hii ina maana gani wataalamu?
hapana rafki yangu, mm mwenyewe nipo huku tamisemi, afu ndo dakika za mwaaaaanzo kabisa. kua mvumilivu utapata tu chance ya kuhamia idarani.🤣ah wapi ni mwendo wa kuhama halmashaur moja kwenda nyingine
Kama una connection ya taasis naomba bas🌚
Hapa hupat wa kumteka jipange upyaKwa heshima ya huu Uzi....kuna mtu wa kutusaidia ku certify birth certificate 10 bure kwa wahitimu wapya ....just tuma tu certificate inarudi chap free of charge......hiyo hela ya kupeleka kwa wakili tununue hata bahasha tu
Yaani nafasi 1000+🤔CCM bwana wanatuonaje sisi ajira zote hizi wataita kweli au Wanatuchora tu 😅
Naona unapungua idadi ya maombi kitaalam, vp kazi utakayoomba ina nafasi ngapi?Nawashauri mpambanie private sectors , hizi ajira za ccm ni miyeyusho na mishahara ya majungu .ajira za ccm iwe last option
Huu ni upumbavu kasome tangazo la kazi nyie ndo hata address ya kutuma barua mnabahatisha.Samahani wakuu hizi ajira za MDA’s na LGA’s barua ni inaandikwa kwa lugha gani kingereza au kiswahili? Na mwenye mfano wa barua tafadhali anisaidie
Haifunguki since day 1 kwangu nahisi ni hiyo traffic overload… Website haijasanifishwa kutumika na watu wengi kwa wakati mmoja!Hivi wakuu ni kwangu tu ajira portal haifungiki au Hadi kwenu huko ?
Jamani huenda ni graduate mpya muelekezeni vizuri tu😅Huu ni upumbavu kasome tangazo la kazi nyie ndo hata address ya kutuma barua mnabahatisha.
Kwenye masuala ya kazi kuweni serious achen upumbavu yan imefika wakat unashindwa kujua nan kasoma nan ngumbaru
Ni hasara kwa taifa