Atakua ashajifia huyo akiusaka huo ubilioneaLabda atakujibu na ID ingine, hii ya uzi huu tangu 2017 kimya.
Mkuu vipi 2025 ndo hii umeshakuwa bilionea?Waungwana nawasilisha kwenu hoja yangu naomba nipatiwe mwongozo niufuate,
Mimi ni kijana wa kitanzania nina miaka 30 kipato changu kwa kazi ninayofanya ni 1200000 per month, nina mke na watoto wawili wa miaka 5 na mwingine mwaka 1.
Nawaonea wivu sana Bakharesa na Mengi na mimi nataka niwe kama wao au zaidi,
Hivyo naomba ushauri nifanye nini ili nifanikiwe malengo yangu.
Nawasilisha
Miaka 11 sasa imepita, mwanao wa kwanza ana miaka 16, kama ni wakike tayari watu washafanya yao, tupe mrejesho.....Mkuu sina chochote kwa sasa zaidi ya mshahara na ndio maana nataka ushauri wenu Great thinkers
Inafikirisha labda alibadili idLast seen ya bilionea ni 2017