Recent content by mega5

  1. mega5

    Natamani dada yangu angekuwa ndio mke wangu

    Watu tunatofautiana kuelewa, hata kusoma, sijui kwa nii? Bora ulivyoliweka vzr Maudhui ya mada ni tofauti anayoiona kati ya familia yake na maisha ya familia ya dada yake yaani yeye anaona ni kama paradizo na kuzimu kwa hiyo yeye ameitamani paradizo yao tofauti na wengine walivyoelewa kwamba...
  2. mega5

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Nilikuwa napenda masomo ya biashara,katikati ya form three nikaumwa,nilivyopelekwa hospitali nikaulizwa kama nilikuwa tayari nimekula,sikujua kilichokuwa kinafuata,nilidungwa sindano moja Kali had I nikaanguka chini Akili ziliporudi nilimuuliza Dr.ni dawa gani nimedungwa,akajibu tu 5mega...
  3. mega5

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Unamfahamu vizuri Da Vinci? Nilisoma minovo yenye profile zake no "noma"
  4. mega5

    Serikali isiogope kuyafungia makanisa holela ya kilokole; hawana madhara kwanza huwa hawapigi kura hawa ya nini kuwaogopa?

    Wewe hujui tu....! Bila hayo makanisa unayoyaita uchwara kuwepo na wewe usingepata pa kuchongea huo mdomo wako
  5. mega5

    Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

    Nyumba yake inaungua, unamshuri afagie uwanja!!!!
  6. mega5

    Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

    Hongera hasa kwa kuwa na mapenzi ya kweli ukiwa wewe mi "me"maana naona na uvumilivu pi unao Mapenzi ni maisha na maisha aio leo tu fikiria na kesho pia yapange haya mawili na uchague moja la muhimu kwako Kupenda wewe tu na usipendwe au Kupenda wewe na ukapendwa pia Haya chagua.....!
  7. mega5

    Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Hongera sana, wako wengi waliofanyiwa makubwa kuliko na "wana wa kiume" Lakini wako kimya kabisa na hawana hata asante ya moyoni Lakini wachache waliofanyiwa mbaya kidogo tu kuonjeshwa, wana kelele hadi dunia nzima itajua Lakini wewe umekuwa wa tofauti Wanaume smart wengi sana
  8. mega5

    China na Urusi zakubaliana kuifuta dola ya marekani rasmi

    Marekani itazidi kuwa juu tena juu zaid kila siku, tusubiri tuone make white house kwa sasa imebadili mfumo wa utendaji kazi wake katika mambo ya uchumi na ushirikiano wa kimataifa Trump anatumika tu kama askari kidole Washington inashirikiana au inatumia sana FBI na CIA katika hii vita yao ya...
  9. mega5

    Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

    Bibie..! Ukweli halisi ni kwamba unamtaka rafiki ambaye baadae ageuke kuwa mume Ungekuwa urafiki tu wa kawaida huwezi kuomba ajitokeze mwenye sifa kama ulizotaka, ungeanza naye tu anaekufaa Pili usingetaka mmoja kama hao uliokuwa nao wa kike walivyokuwa zaid Tatu isingekuwa muhimu kunasibu...
  10. mega5

    Tatizo la kisaikolojia: Huu mwaka wa 25 napenda kukaa mwenyewe tu, wakizidi watu watatu natoka

    Juliiiii...! Aliyekwambia hilo ni tatizo yeye ndo ana tatizo na kama wewe ndo umehisi hivyo basi una tatizo tu la kujihisi vibaya na si vinginevyo Hata mwenyewe niko hivyo
  11. mega5

    Naomba kujua juu ya Mbeya

    Kama MTU Ndio kanisani uliza Jesus Victory Church au JVC ,hospital nzuri ni Ebenezer pale mwanjelwa na pharmacy au maduka ya dawa uliza maranatha misosi mingi ila hawajui kupika
  12. mega5

    Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

    Tatizo hujawahi kulipa kodi ya kichwa
Back
Top Bottom