Recent content by medsebapol

  1. medsebapol

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Kisa kuzimwa mitandao 😂😂, wangekua wameyafungia makanisa na misikiti basi tungesema huu ni udikiteta
  2. medsebapol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

    Una hutani na bibilia Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
  3. medsebapol

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Vibaya vibaya yaan ni mbaya kabisa wabongo kutojiamini kulingana na elimu tulizonazo wote tunakimbilia elimu za juu.tukiwa na malengo ya kizamani mpaka tunauficha ujuzi wetu binafusi
  4. medsebapol

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Huyu ndiye jambazi,gaidi wa kwanza kutangazwa na raisi kwa kukamatwa na vyeti feki [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86] Picha badae
  5. medsebapol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Kwan ya yesu haikutosh
  6. medsebapol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhali wanawake msiwe mnanyoa Kabisa, Mnajidhalilisha

    Weita akupatie nyingine nitalipa
  7. medsebapol

    JamiiForums Tanzania TCRA: JamiiForums haifuati masharti kama mitandao mingine, mitandao isiyofuata masharti tutaifungia

    Kwan ni lazma kutumia.co.tz. kama kitu kimesimama na kinajulikana wapi kinatoka kitapendwa tu. Haki iko wapi tuacheni uzee ivi hao walio tcra wametumwa.kweli wananfanya nimkumbuke Jana wakati natiza TV usiku ITV malumbano ya hoja kuna mzee alisimama akasema tanzani atupend kutoa nafasi kwa...
  8. medsebapol

    JamiiForums Tanzania Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

    Wa arusha ndo hatarii ani ukijiptsh jion mitaa flan ya shivaz unackia kaka twende tuk***** , maisha ayana baunsa
  9. medsebapol

    JamiiForums Tanzania Historia ya calendar ya mwaka 1995 iko sawa na ya mwaka 2017

    Attention attention kama una calenda ya mwaka 1995 basi haina haja ya kununua ya mwaka 2017 kwani zimefanana... Hii ni kwenda sambamba na bajeti ya uongozi wa awamu ya 5...chukua mark pen badilisha mwaka✍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. medsebapol

    JamiiForums Tanzania WANAUME HATUZEEKI KIRAISI RAISI

    Wanaume atujambo
  11. medsebapol

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Vip watampatia pesa zenye thaman ya hii site au ndo wanatak akafe akiwa masikini.MTU kama kajiajiri why asumbuliwe
  12. medsebapol

    JamiiForums Tanzania WANAUME HATUZEEKI KIRAISI RAISI

    Unaosheaa eee
  13. medsebapol

    JamiiForums Tanzania WANAUME HATUZEEKI KIRAISI RAISI

    Unapnd arua
  14. medsebapol

    JamiiForums Tanzania WANAUME HATUZEEKI KIRAISI RAISI

    Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"...
  15. medsebapol

    JamiiForums Tanzania SUKARI• ÀSANTE SERIKALI

    Ngoja tusubur reaction za wabongo
Back
Top Bottom