Usijitie moyo umekosea,wala haina jinsi ya kuipolish umechemka,kua jinsi ya kumalizana nalo,omba muuza kucha sijui asirudi aogope mumeo,Ila akirudi lazima ukome weweAsante kwa kunitia moyo na kunitetea. Kuwa kwangu muwazi kwenu leo ndiyo wananipa jina chafu la umalaya? Wake zao wameficha makubwa zaidi ya haya. Wapeleke watoto wao kwenye DNA machine waone.
Hatari Sana hii... Wanawake kuweni seriousCeline Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".
Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.
Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.
Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.
Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Una hutani na bibiliaMuulize Frola Mbasha anajua mbinu
HahahahaaaNlisha sema mwanangu DNA itahusika, wanawake mnafunuliwa tu kama pazia
Ni wewe peke yako ndiyo uliyeweza kung'amua fumbo hili. Umetisha mkuu, uko vizuri mnohiyo ni post ya kawaida ambayo anahitaji comments....si direct kwamba ni yeye
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Kama ni mwanaume basi atakuwa mtunzi wa hadithi.Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Pole, ila me naogopa kukushauri maana unaweza ukahamia kwangu wkt na me nimeoaCeline Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".
Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.
Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.
Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.
Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Nmeona beby darling,tuyaachage tu hapahapa hayatuhusu haya
Kweli kabisa huyu jamaa ni type ya kina shigongoHuyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Na wale wakongo wanaomsuka nywele lazima wameshamfumua marinda kwa kumsifia ana nywele nzuri.Omba talaka, ukaolewe na msafisha kucha, kuna watu hawaridhilagi kwa kweli ,na mwendesha bodaboda utampa akikusifia unanukia vizuri.