medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Weita akupatie nyingine nitalipa
Habarini Wadau,
Kuna jambo linaumiza sana. Hivi kwanini Wanawake mnapenda kuzinyoa zile nywele?
Ili iweje labda? Kama mwanamke anajiheshimu na kujitambua hawezi kukubali kunyoa hovyo hovyo mpaka anabakia kipara kama mtoto mdogo asiyevunja ungo bado.
Kwakweli inapendeza sana mkiziacha ziwe nyingi na kustawi ziwezavyo. Kwani hakuna chana madukani?
Mimi za mke wangu ikifika Christmas zinatimiza miaka miwili sasa na miezi minne hadi raha.
Nimemwambia siku akizinyoa nampa na talaka hapo hapo Wallah billah,
Yaani inaleta raha sanaaa wakati wa kuzifunua kwa mikono miwili ndio ukute kile kidude.
Kunyoa ni kiherehere na kuigaiga ujinga. Eti mnajidai usafi...kwani huwezi kufanya usafi zikiwa refuuuu haswa.
Tafadhali wanawake msinyoe.
Msitake laana.
Please n Please.
Heri ya Christmas,
ccm tena?Kwa fikra hizi za wananchi haishangazi kuona CCM wakiwa na uhakika wa kubaki madarakani.........
Labda pengine hukumuelewa mheshimiwa......
Alimaanisha viwanda vingine......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera! Sasa tupia bac kapicha ka mkeo tujifunze kwa mtini!
Una uhakika gani kuwa dini yangu inaniruhusu?
Unaijua dini yangu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] viwanda vya nywele,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania ya Viwanda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa kalusekelo kamemkolea haswaa.Hahaa aisee usiendelee kunywa nenda kalale.
Maana naona unaanza kufundisha dada zetu kunukia Kibua.
2Atoto wamefunga shule kwajil ya likizo ya XmasYaani hizi mada zako za siku hizi!!
Saingine ni ngumu kuamini kuwa humu Jf ni "Home of great thinkers"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amazon forest...