Recent content by MECKIAD RUYINGO

  1. MECKIAD RUYINGO

    Green star express haifai kabisa

    bora kukodi bodaboda raha 2pu
  2. MECKIAD RUYINGO

    Hii imezidi

    Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za uongo. 1. hakuwa mpenzi name kuwa chaguo lake la...
  3. MECKIAD RUYINGO

    Nisaidieni

    Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za Uongo. 1. hakuwa na mpenzi name kuwa chaguo lake la...
  4. MECKIAD RUYINGO

    Ushauri

    Fungua sala kwa juhudi
  5. MECKIAD RUYINGO

    Ushauri

    thaz alright but nimekusoma ahsante men
  6. MECKIAD RUYINGO

    Ushauri

    sina maana kuwa mm ni bisexual sas kama yetu ndye atakua mtafutaji wa kuhudumia familia ww unafikir nitakuwa nan mm
  7. MECKIAD RUYINGO

    Ushauri

    Kimsing ni kwamba lazima utambue ya kuwa, mwanaume ukamzidi msichana hata miaka mitatu lakin suala la kuwa na umri sawa lazima litareta utata kwan yeye atakuwa mkubwa kwako tena tayari anaudhoefu mkubwa kimaisha na hata mazingira ya kazin
  8. MECKIAD RUYINGO

    Ushauri

    mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, natarajia kumalieza elimu ya chuo kikuu mwaka huu mwezi wa saba. ninampenziambaye kwa kiasi fulan tunapendana, ambaye yeye kwa sasa anamika 25, kwa bahati nzuri tayari yuko kazin kwa miaka mitatu, ni mwalim wa shule ya msingi. ......tatizo langu mm ni...
  9. MECKIAD RUYINGO

    Natafuta rafiki wa kike.

    chamsing kuwa na moyo wa subira ipo siku utampata huyo bint
  10. MECKIAD RUYINGO

    Natafuta rafiki

    am looking for a girl friend who have 19-23 years, no matter what level of education she have.. aiming for charting and changing ideas.. i will be much happy a day i get that friend..
  11. MECKIAD RUYINGO

    KUTAFUTIWA MKE au MUME

    WAZAZI, in wezekaje mtu ambaye mm ndiye nayeoa au kuolewa mnitafutie? hapana jamani hii tabia ningependa tuikomeshe kwan inatuambisha na tuishi kwa wasiwasi je wadau mnasemaje iendeleeee au istopishwe
  12. MECKIAD RUYINGO

    Upendo wa mama

    Mm ni ss ninasoma chuo kikuu cha dodoma mwaka wa tatu ba-education.. Kwa muda mwingi nilikuwa nikilelewa na kaka yangu ila by this moment i need to see my mum because mum ndiye mwenye kufahamu how much pain gained bcz of me..
  13. MECKIAD RUYINGO

    Mapenzi

    kweli jamani hivi kwanin mtu unayempenda anakupotezea wakat wewe ndio umekufa ukaoza. je wenzangu jambo hili mnalionaje kwan linaumiza sana mpaka mim huwa nakosa hata tumain la kuwa na mtu ni mpendaye katika maisha ya kila siku ili ikizewekana basi tufunge ndoa na mungu abariki maisha yetu ya...
  14. MECKIAD RUYINGO

    Mapenzi

    Waheshimiwa mim mwenzenu sina hisia na jambo la mapenzi kwan walionitenda tayari wanatosha...siju wadau mnasemaje je mpo kama mmau
Back
Top Bottom